wadau is this fare eti sipendi kazi yako kisa nipo mochwari kwani hiyo dressing table unadhani imetoka wapi
kumbe we unachongeshaga ?
kwa fundi seremala
hebu jibu swaliumejuaje mbinguni hakuna furniture?
kuna inayotoka mbinguni ?
Duuuh acha uongo bana
uongo upo wapi ?
haijatoka kwa fundi imetoka mochwari hahahaa
Hahahaha jamanhoko mochwari siku hizi wanachonga dressing table ??