Hakuna Mtu ana usingizi wa kuliwa mpaka malaji amalize asiamke ila mazingira yanalazimisha mtu kuvunga kama kalala ili apate raha, na nyingine zilikuwa mipango demu anakupa mchongo na sehemu atalala ili ukija umpatie maana wengine walikuwa wanalala team, [emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka kwanza maana nimekumbuka kisa cha msela alikutwa na balaa, alitageti mahali demu Kalala, kumbe demu kalala na bibi yake usiku bibi katoka nje kukojoa, kurudi demu kabingilita kalala alikolala bibi na bibi akaona isiwe tabu akalala alipolala binti usiku, Usiku mtamu Jamaa kaja kuingia ndani akapoint pale alipokuwa kalala binti asijue kuwa bibi ndo kalala pale akufungua kitabu bibi kavunga tu, babu alikufa miaka mingi sana, sasa bibi kumbe kagundua ila akataka kuona nini kitatokea, mara msela kazamisha chombo,, dooh!! Bibi kasikilizia tuu mara jamaa kaanza kuweka maufundi bibi uvumilivu ukamshida akajitingisha dogo kaona yes kapewa ushirikiani akaongeza tena ufundi anagusa g barabara bibi kazidiwa kauchapa ukunga uuuuuuuuuwiiiiiiii!!!! Nani huyu kanikumbusha enzi zangu jamannii? Jamaa kushtuka kumbe alikuwa anamla m bibi wa watu acha akimbie watu kuamka bibi kavunga na kudai alikuwa kwenye ndoto mbaya hahahaaa, asubuhi mtoni ikawa story sasa flani kaja ili aniibe kamuiba bibi watu aaaaah!!! Ndio hapo cri ikavuja nasi majirani tukazipata, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hivyo nimekumbuka miaka ya nyuma sana kwakweli wakuu duh