Baadhi ya wadada mna tabia mbaya

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,880
Huyu manzi kila siku ananipigia simu anataka aje nampotezea kwakuwa nakua na mambo mengi pia sina mzuka naye. Ila tatizo lake nikimuambia aje anakuja anakula shoo, akiondoka nampa nauli maybe elfu 40.

Ikija bodaboda anaanza ugomvi nimpe nauli ya bodaboda. Namuambia si nimekupa nauli hiyo si ulipe bodaboda? Anaanza kununa na kugoma anataka nimlipe bodaboda wakati mimi nimeshampa yeye nauli. Halafu kesho tena anaanza kunipigia masimu eti anataka kuja?
 
Mkuu Serikali kila mara inatuambia tujiajiri..sasa Dada wa watu ameamua kujiajiri unaleta zengwe huyo ni mjasiliamali mdogo yupo kazini hapo tafadhali usiharibu mahesabu yake ukafilisi biashara yake.

WEWE MPE TU,MPE TU....!
 
Mzee kama umechoka kugegeda nipigie pande.
 
Siku nyingine usimpe mkiwa ndani nenda naye mpaka kwa boda boda halafu ulipie wewe boda.
 
Siku nyingine usimpe mkiwa ndani nenda naye mpaka kwa boda boda halafu ulipie wewe boda.

Skia nimempa nauli 40k tukiwa ndani. Kutoka nje kaja boda kataja nauli manzi anataka nimlipie nauli ya boda. Umeelewa?
 
Nimempa nauli 40k bado anataka nimlipie beodaboda sasa iyo nauli niliyompa ni ya nini?
next time tenga hela ya bodaboda pembeni na nauli peke yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
next time tenga hela ya bodaboda pembeni na nauli peke yake [emoji23][emoji23][emoji23]

Hata nikiongeza ikawa 50k 10 ya nauli bado atataka nauli ya bodaboda[emoji23] trust me
 
Mwanamke/Msichana ni kiumbe kisichoeleweka.

Ukiona umeanza kumuelewa mwanamke jua umekaribia kufa.
 
Skia nimempa nauli 40k tukiwa ndani. Kutoka nje kaja boda kataja nauli manzi anataka nimlipie nauli ya boda. Umeelewa?
Sasa nini ambacho hujaelewa hapo kwenye comment yangu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…