Baadhi ya Wabunge Ugiriki walishinikiza kuvamiwa ofisi za umoja wa Watanzania?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
john%20haule(2).jpg

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule

Serikali kupitia Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imemwagiza Balozi wa Tanzania nchini Italia, Dk. James Msekela, kuiandikia barua serikali ya Ugiriki kuwa Tanzania imechukizwa na kitendo cha Watanzania waishio nchini humo kushambiliwa wiki iliyopita.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule, alisema wamemwagiza Msekela kuiandikia barua Ugiriki kuwa Tanzania haijapendezwa na kitendo kilichofanya na
kikundi cha wafuasi wa chama cha Xris Avgi wakiongozwa na wabunge wao dhidi ya Watanzania waishio nchini humo.

Haule alisema katika barua hiyo, wamemwagiza Balozi Msekela kuiandikia Serikali ya Ugiriki kupitia Jeshi la Polisi kuhakikisha kuwa Watanzania wanapatiwa ulinzi.

Alisema hawajapata taarifa yoyote kutoka kwa balozi Msekela kama ameshaiandika barua hiyo.

“Tumemwagiza Balozi Nsekela katika barua atakayoiandika kwa Serikali ya Ugiriki aiombe kupitia jeshi la Polisi la nchi kuhakikisha ulinzi katika makazi wanayoishi Watanzani unapatikana,” alisema Haule.

Hata hivyo, alisema kitendo kilichofanywa na wafuasi wa chama cha Xris Avgi au Golden Down (Neo Nazi) hakihusiani na tukio lililotokea Dar es Salaam la kuuawa kwa raia mmoja wa Ugiriki.

Septemba mwaka huu, wafuasi wa chama hicho walivamia katika ofisi za jumuiya ya Watanzania waishio nchini humo na kuwajeruhi pamoja na kuharibu mali zao.
 
Wabongo si waliua mtu wao ?hamui na wao ni watu tena wakulima stadi na mashamba yao mengi mlichukua.Sasa njaa ya nini inawapeleka kwao?Serikali dhaifu ikafanya upuuzi kama walivyofanya makanisa yakiungua, mauaji ya arusha, morogoro, na iringa.Sasa na wao watawoanjesha joto ya jiwe.Majibu yatakuwa mepesi tuu.Kuwa wamepigana wahuni.na pia watatuuliza hao ni raia wetu tulimwachia nani?Mbona hawana pass?Au tunatuma terrorists.
 
Katika tuko hili kinachonishtua kidogo kwamba kuna wabunge walioongoza mashambulizi hayo kutoka chama fulani. Ni kitu adimu sana mbunge akiwa sehemu ya sauti ya umma na serikali kuweza kuongoza kundi la watu kufanya yaliyotokea. Maa picha zile zilionyesha utkio halikua la mtu fulani mwizi, ila la kupangwa na lilifanywa kwa muda wa kutosha.
 
Hivyo hivyo watakuwa na sababu za kutosha kutujibu kwanini wanafanya hivyo.Hizi sinema za akina kova wagonjwa wakili haziingii kwa watu wengine.Kwa taarifa zenu wazungu wanashare sana hizo information.Tutapoteza watu muhimu duniani kote kwa vile hatujui tunatafuta nini humu duniani.BY this time tulipaswa fikia mahali pa kuwaamrisha wagiriki wafanye mamabo ktk balance kwani wamelima sana ardhi yetu kwa miaka mingi.Na wana mahusiano ya mud amrefu sana na nchi yetu.mengine yalikuwa mabaya kwa vile nasi huwa hatuna mbinu za ku deal na mataifa kwa muda mrefu.
 
Duh! Mie bado kipofu, maana tupo na wengi wa kimataifa nchini mwetu, lakini haya wa Wagiriki kutumia ardhi yetu ndo pamba inadondoka masikioni mwangu.
 
Katika tuko hili kinachonishtua kidogo kwamba kuna wabunge walioongoza mashambulizi hayo kutoka chama fulani. Ni kitu adimu sana mbunge akiwa sehemu ya sauti ya umma na serikali kuweza kuongoza kundi la watu kufanya yaliyotokea. Maa picha zile zilionyesha utkio halikua la mtu fulani mwizi, ila la kupangwa na lilifanywa kwa muda wa kutosha.
Mkuu hicho chama kinaitwa Chrysi Avgi(GoldenDawn). Hicho chama sera zake ni za kinazi, xenophobia kwa kwenda mbele

Ila sidhani kama WABUNGE wa hicho chama walihusika. Source inasema "suspected members of a far-right Chrysi Avgi(Golden Dawn)"

Sasa police inasemekana walishuhudia unyanyaswaji huo bila kutoa msaada wowote. Pia inasemekana Ugiriki imekuwa ikionywa na European Commission kuhusiana na kukiuka haki za Wahamiaji Haramu. Leo hii serikali yetu inategemea msaada kutoka kwa hawa madhalimu Wagiriki
 
Naamini ofisi zile ziko mjini, na huko europe tukio kama lile ambalo linaonekana kufanyka kwa kipindi si cha muda mfupi, haiwezekani vyombo vya usalama hasa polisi wanaofanya doria wasiweze kujua nini kinaendelea katima mtaa ule. Kuna underground movement ambayo serikali na vyombo vya dola hawako wazi kutamka kwa kuogopa sheria za kimataifa za haki za binadamu.

Kitu kingine wabongo tumezoea mambo mengi kufanya rasmi kabisa na kujisahau kama tuko homeland ya bongo. Wahamiaji wengi katika nchi mbalimbali hupendelea kuwa na umoja ambao hukutana sehemu zinazobadilika kwa ratiba.

Kama kunakuwa na ofisi rasmi kunatakiwa kuwepo na tahadhari ya usalama kama mtandao wa usalama wa security ambao huwa umeandikishwa serikalini na itokeapo tatizo kama hili vyombo vya usalama haviwezi kukwepa lawama kwa vile uahribifu kama huu lazima uonekane kwenye maso wa sauti, picha na kwenye ofisi za usalama taarifa hazitakosekana.
 
Hata serikali ikanushe vipi kilichotokea Ugiriki kinahusiana na kilichotokea Dar. Kwanini kabla ya kuuawa daktari wa kigiriki watanzania hawakuwavamiwa kama siyo kuficha ukweli? Hapa si kulaumu au kutafuta nani alivamia bali kuangalia matatizo yetu nyumbani. Mijitu inaiba na kujurundikia pesa na kutengeneza vibaka. Badala ya kuwashughulikia hawa mibaka wanaotengeneza vibaka tunaanza kuwalaumu wenzetu. Ni aibu kwa taifa hata kabla ya kutafuta wa kutwisha lawama. Heri aliyeuawa angekuwa mbunge, waziri au ndugu yake rais huenda wangechukua hatua.
 
Date: 26/09/2012 Press Release Subject: Violent attack
by Chrysi Avgi (Golden Dawn) against the Tanzanian
Community in the Kipseli district of Athens on the
evening of Tuesday 25 September. On the evening of
Tuesday 25 September the community of Tanzania,
which has its offices in Lemesou street in the Kipseli
district for over three years, and is active as a
community from 1999, was violently attacked by a
group of 80 members of Chrysi Avgi (Golden Dawn)
during a meetin g among its members. There had been
threats by residents and shopowners the night before,
many of which were among those who attacked the
centre. From its official foundation in 2002, the
community organization of Tanzania has organized
creative activities, e.g. a lending library, creative
games and artistic and cultural activities for
youngsters, so as to strengthen its ties with the local
community. The incident happened as follows: On the
evening of Monday 24 September, between 10 and
11.30 in the evening, a group of shop owners and
residents of the area visited the community’s centre
and asked those present to leave. Once it was
established by those gathered at the centre that the
centre was a cultural centre, and once the relevant
documents were presented, two among the 30 visitors
threatened the community organization, should they
refuse to close. On the following evening, 10 members
of the Tanzanian community were gathered in the
building, and around 1 past midnight, a group of 80
members of Chrysi Avgi (Golden Dawn) visited the
premises. Those gathered called the police, which
promptly arrived. They then summoned the President
of the community as well as the former president. The
police led those gathered in the centre out of the
building. A while later, at around 2.30-3.00 at night,
the Chrysi Avgi (Golden Dawn) returned and ransacked
the place. On that same evening, two stores owned by
migrants were also attacked. We condemn this criminal
act and demand of the authorities that they take every
necessary measure to locate the guilty parties, so as to
hold them accountable to justice. As active citizens of
this country we feel that such hideous acts in no way
represent the majority of Greeks and that society as a
whole ought to condemn them so that our country does
not slip into a state of lawlessness and barbarity.
ASANTE Greek Forum of Refugees Greek Forum of
Migrants Afghan Community in Greece Hellenic League
for Human Rights Union of Egyptian Workers in Greece
Syrian Educational Society Kenyan Community in
Greece Guinean Citizens Community in Greece Cultural
House of Albanian Immigrants in Greece Kasapi Hellas
– Philippino Migrant Workers in Greece Bangladesh
DOEL Cultural Centre (Member of the Athens
Municipality Integration Council
 
Kwa mtizamo wangu hiyo center inawezekana hutumiwa kama sehemu ya kulala pia(kinyemela). Nimeona hapo palipoandikwa Polisi waliwaondoa lakini baadae watu wa chama cha Chrysi Avgi wakarudi tena majira ya saa tisa usiku

Ndiyo maisha ya ughaibuni hayo. Mimi naamini CCM iking'oka watu wote wanaoganga njaa ughaibuni watarudi kujenga taifa tofauti na hali iliyopo sasa hivi inayowajali akina RIDHIWANI KIKWETE na watoto wengine wa vigogo
 
Duh! Mie bado kipofu, maana tupo na wengi wa kimataifa nchini mwetu, lakini haya wa Wagiriki kutumia ardhi yetu ndo pamba inadondoka masikioni mwangu.

Wagiriki ni kama fisi Nyuma ya Simba.Kila alipopita muingereza walipewa tender za kulima huku wakikopeshwa hela na Baclays ili wazalishe kwa ajili ya UK,hawa walilindwa sana na mkoloni,hata wahindi kuna maeneo walianza pata hizi chance.Tz ni hivyo hivyo na baada ya uhuru walibaki na mashamba yao.Bongo yalitaifishwa na Nyerere ila bado kuna mengine walibaki nayo.Ndio maana Nyerere alisumbuana nao sana, hata katk mfano wake alimtaja yule mgiriki wa cyprus aliyedai kuiweka serikali yake mkononi.

Bado wapo wengi na wapo chini ya Hellenic society wakiw ana shule zao,club zao na mengine mengi.Mojawapo ya shule zao ni St constantine ya Arusha.Jina sawa na Constantinople aliyetawala Cyprus(ya uturuki+ya Ugiriki) ,ugiriki na Uturuki kabla ya kuangukia ktk Uislam.

Wabongo tuna vichwa vya kuchekesha kweli huwa tunafanya kazi za bure nyingi na kila miaka tunarudia tena.kama tulivyoshidnwa tawala Kongo na kuwafaisi kiuchumi sasa Museveni na kagame wanafaidi, malawi nao wanatuhemea, Zambia nao, Mozambique nao akiondoka chisano na rais aliyepo bishara ianaisha.Sasa hivi tuu raia wetu south africa, Mozambique na kenya wanateswa na kuuwawa hakuna nayejua huku.Achilia mbalia mizaha ya wamisri watufanyiayo waziwazi katk michezo hasa mpira wa miguu.Serikali ayetu inakenyua tuu.

Pamoja na kwamba wagiriki kiuchumi wamebanwa ila bado wana nguvu katika mataifa mengi duniani na huyo aliyekuja ni mmojawapo ya watu waliokuja kuhakikisha survivala ya watu wao na nchi yao.Huwa kwa nchi nyingi wanashikilia biashara ya mashamba, meli na uuzaji wa silaha, kumiliki visiwa etc na vyote vinapata mikopo toka ama kwao au jumuia ya ulaya.N ahivyo hawa wtau wanaongozwa sana na sera za nchi yao,na mara nyingine hupewa ubalozi huko walipo ili kupunguza gharama.

Sisi na akina dhaifu hatuna habari wala mpango wowote.
 
Dawa ya Mgiriki ni Mturuki lakini Tanzania hata sikio halito wauma kwa mambo waliyoyafanya
Sisi zetu kelele tuu hakuna vitendo (Labda sijui kwa kibonde chetu Malawi nasikia Bibi Banda alishtuka kuja Dar)
 
Sasa kama tuna raia wajinga wanaozamia kila nchi bila kujua mambo ya msingi duniani tutakuwa nani sasa.Kati ya hao ni wangapi wanaweza tengeneza maisha na baadaye wakaweza shirkiana na nyumbani kuwa kama balozi wetu huko huku wakipata mikopo yenye faida kwa nchi?

Mturuki na Mgiriki ndio wanapiganishwa kidunia kati vita ya utamaduni kati ya Uislam na Jumuia yenye misingi ya Kikristu na kiyahudi ya ulaya.Uturuki na ugiriki ndio mlango wa jaribio lingine la uislam akutawala ulaya kwa mara nyingine baaya ya la mara ya kwanza kushindwa.Uturuki wamegawana Cyprus na ugiriki.Wabongo wanaingia ingia tuu kama inzi huku wakijisemea tuu kuwa wanampenda malcolm X kwa vile ni mweusi ila hwajui wapo katk mstari gani linapokuja suala la tamaduni na rangi na ukombozi kisiasa.Wabongo wamjikuta ktk wrong side of the owrld bila jijua.Na wajinga ni wengi sana hata humu JF.Ndio maaana issue kam ya ghaddafi wengi wamechanganyikiwa sana na hajui lipi ni lipi.Na wanaojua wanazidi wakoroga kwa malengo yao.

wenzetu wanatuoan kam social salvage,kwani huw ani wepesi sana kutumika na kusababisha shift ya dyanamics.
 
Unaijua vizuri ile jumuiya au unaongea tuuu?Jumuiya imesajiriwa kiarali na inatambulika pale Ugiriki na nje ya Ugiriki,,,Achana na mambo ya kidini uko utazidi kupotea kwa sababu sio kila Mturuki ni muislam kuna wengine pia na kuna wanaoitwa majina ya kiislam na awana mpango na dini yenyewe(Mimi nilifanya kazi Ugiriki na nikafanya kazi Cyprus kituo Nicosia makazi yalikuwa nje ya Larnaca)
Unapoongelea swala la Cyprus lazima utambue kuwa Ulaya nzima imechemsha kumtoa Mturuki Nacosia kwa uzembe wa wacyprus waliwakaribisha wakajenga wakazaa walipojiona wako wengi wakachukua Eneo kubwa sana toka mwanzo mwa Nacosia mpaka kati ya Nacosia na sasa wanautaka uwanja wa ndege ukitaka kuyajua zaidi sema nitakuabarisha
Twende kwenye point....Naomba unijibu wale wenye ofisi zilizovunjwa na kuaribiwa yupi pale alizamia na kama kuzamia hilo ni tatizo la dunia nzima,Pakistan wanazamia,Kenya wanazamia.
Na swala la mikopo wewe lisikuumize kichwa Ulaya hakuana mambo ya mjomba nazision kila mtu apewe mkopo na kama kila mtu apewe mkopo matokeo yake yangekuwa kama yale ya Marekan na Mkopo wa nyumba
 
Soma hapo juu

Kuchemsha ni kawaida kwani waislam popote wapo busy kwa mipango ya siri yenye malengo ya kupanua dini,na huwa wanafanya kila wawezalo kama kuoa na kubadili dini, kudanganya n.k hata jamii zilizofanikiwa waislam hujitahidi kw agharama zote kuweka mbegu humo ili baadaye wa claim all the rights.

waislam wana dini ipo very loose, hata muhuni anaweza fanya kazi kwa maslahi ya dini, kwa hiyo hata hao wenye majin ya kiislsm wanaweza kuwa ni potential islamist kama waislam vuguvugu mara wapatapo hela.

Wageni wengi huwa wan attitude ya kuji defend na kudharau wenyeji sehemu nyingi duniani, na mara nyingine wana mchanganyiko wa wa watu wanaoharibu mataifa ya wengine na mara nyingi wana tabia za kuhsirikiana na maadui.mfano.Waislam wote kwa viwango tofauti wapo upande wa uturuki ina one way or another.Wengine ni wanyonyaji wa mataifa yanayowashikilia.

Suala la mikopo hujanielewa kama usivyoelewa malengo marefu ya watu wa mataifa na makundi fulani.Kama ilivyokuwa kwa waturuki kuzaana, kubadili dini,kuchukua ardhi na mengine ili kuongeza idadi yao na baadaye kudai kwa nguvu.Wengine hupewa mikopo toka nchi zao za asili ili wajijenge kiuchumi katk host country na faida kurudisha nyumbani.Na hapa nilikuwa namaanisha mikopo toka Tanzania kwa watanzania waliwekeza nchi nyingine. Na si hii mikopo ya individual amabyao unaweza patiwa huko ulipo kwa faida yako binafsi ,kwa faida ya bank na faida ya nchi husika.

Wasilam duniani kote wapo na mission nyingi sana za kupanua dini yao ili kutawala wengine,na mara wapatapo mamlaka huanza kutokomeza wengine kwa nguvu kubwa sana,huku wakiongeza madai yao unfairly.Na hicho ndicho unachokiona pale Cyprus.
 
Soma hapo juu

Uislam ni shida duniani kote, jamii za ulaya.Waethiopia waliomkaribisha mtume na kumpa hifadhi sasa wana face joto ya uislam, Uturuki yenyewe, misri , cyprus na wakristu, India na wahindi, thailand na wabudha, china na wabudha, srilanka na wahindi, ufilipino na wakristu.Sasa tanzania na vita za baraza la mitihani, nafasi za kazi nchini tanzania.Kote huku waislam wanaanza na inchi halafu wanaendelea panua demands zao hadi wapewe kila kitu hata kisicho haki yao.

Sasa hivi waislam wote wanaongea lugha moja hata pale wenzao wamefanya uovu.Huwezi tofautisha serikali yenye waislam na mambo ya dini, huwezi tofautisha magaidi na walio soft.Walio soft wanafanya kazi ya kupoteza wengine.Uamsho wanachoma makanisa , akina zito wanasema ni muungano, rais naye anasema hivyohivyo.
 
Wabongo si waliua mtu wao ?hamui na wao ni watu tena wakulima stadi na mashamba yao mengi mlichukua.Sasa njaa ya nini inawapeleka kwao?Serikali dhaifu ikafanya upuuzi kama walivyofanya makanisa yakiungua, mauaji ya arusha, morogoro, na iringa.Sasa na wao watawoanjesha joto ya jiwe.Majibu yatakuwa mepesi tuu.Kuwa wamepigana wahuni.na pia watatuuliza hao ni raia wetu tulimwachia nani?Mbona hawana pass?Au tunatuma terrorists.
Kwa hiyo ikitokea ukaenda Ugiriki raia wa kule wana haki ya kukuua sababu raia wao aliuawa Tanzania
ule ni uhalifu kama uhalifu mwingine wowote wala hauusiani na utaifa
 
hakuna aliyesema kuwa kuna haki kama tusivyosema kuwa ni haki kuua mwizi mara ashikwapo.Ila mnahitaji kujua kuwa hizo events zinaweza tokea chini ya ushawishi wa mambo mengi.Wengine ni kwa crimes wanazofanya foreigners, nafasi za kazi wanazopondwa tena kipindi wakiwa katika dose ya hali mbaya ya uchumi, pamoja na jinsi mnavyotishia usalama wa jamii yao.

Pia suala la raia wao kuuwawa na serikalia yetu kutokuwa na majibu mazuri ni wazi kuwa wapo watu busara haitozidi masikio yao kama ilivyokuwa kwa haao vibaka mburuza mtu hadi kumsababishia kifo.Hao wezi nao hawakuwa na uelewa wa kutosha kama mlivyo wengi wenu mkiwa nje.Hawakuafanya calculated move.Noramally wazungu wana ushirikiano mkubwa sana wakitishiwa na silaha n amtu wasiyejua kichwa yake kama ipo safi au lah.
 
Ila mnahitaji kujua kuwa hizo events zinaweza tokea chini ya ushawishi wa mambo mengi.Wengine ni kwa crimes wanazofanya foreigners, nafasi za kazi wanazopondwa tena kipindi wakiwa katika dose ya hali mbaya ya uchumi, pamoja na jinsi mnavyotishia usalama wa jamii yao.
Ni kweli hali ya uchumi nchini Ugiriki inasemekana imefanya hicho chama cha kifashiti kijizolee sifa. Mfano sasa kinatetea wazawa kwa kukandamiza haki za wahamiaji

Na kwamba chama hicho cha Chrysi Avgi kinachukua sheria mkononi . Ubabe unafanyika mbele ya polisi
 
Back
Top Bottom