macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,282
- 56,993
Wasipotekwa basi kesi yao itatupiliwa mbali kwa sababu jaji mkuu ni kibaraka wa Samia.Na Watatekwa kweli, kwa sasa mkakati ni kuua kila anayewakwamisha

Upewe majina ukawateke?Dah inaelekea umeumia sana.Na pia upo in denial. Leta majina ya hao viongozi au itakuwa ni wishful thinking.
Mbwa kala mbwa 🤣🤣🤣🤣Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
CHADEMA WANA WIVU MKUBWA DHIDI YA CHAMA KIDOGO KABISA CHAUMMAWakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Tuone Yale malalamiko aliyopelekewa kuhusi uteuzi wa Chadema !Kula chuma hicho Msajili wa vyama
Ndio shida ya kutumia rushwaWakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Ndugu RozelaWakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Hatari sana aiseeNdugu Rozela
Huu ni msimu wa kupiga hela toka CCM na serikali yao..
Ziko nyingi mno kwa ajili ya kumhakikishia Chura Kiziwi ushindi wa kimagumashi...
Hawa wana haki hiyo kabisa kudai haki yao. Lakini, tunajua wanataka watulizwe kwa pesa na 100% watazipata...!
Good movie indeed. Acha wale pesa za wanaokwenda kufa...
Kwa sababu kwa vyovyote vile, kabla ya ujio wa hawa vibaka wa kisiasa wa G55, CHAUMA ilikuwa na uongozi full...
Ikawaje hawa vibaka wanaingia chamani leo, na wote wanavikwa uongozi: huyu Katibu, yule naibu, yule makamu mwenyekiti nk ?
Wakijiunga CHADEMA maana yake hawana uhalali wa kufungua kesi dhidi ya CHAUMA.Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.
Madalali yamevamia CHAUMA hakitaenda mahaliWakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.