Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,885
- 7,920
Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho.
Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni.
Wanne kati yao watajiunga CHADEMA.
Vuta glasi ya juice, kunja 4 movie inaendelea.