Hujapata suruhisho?Noma noma sana.
Tatizo la gari kushtuka (kpuh) napotoa P kwenda D hata mie linaniumiza kichwa.
Bado mkuuHujapata suruhisho?
Mpka sasa umejaribu nini na niniBado mkuu
Fundi alisema Sample ile inakaa chini ya gearbox imepinda.Mpka sasa umejaribu nini na nini
Uliifanyaje?Kaka habari je ulishahamia dar nna altezza 1gvvti inanitesa sana gear box rivas haipo na namba 3na kuendelea zinaingia kwa shida sana
Yes hii ishu ni common sana kwenye hilo toleo la Rav 4. Wanasema ilikuwa fault kutoka kiwandani.Mkuu mie nikiweka reverse inatoa huo mshindo hata kama utakanyaga brake had mwisho. Wazoefu wananiambia ni kawasaki ya rav4 oldmodel kushtuka unapoweka reverse. Ni kweli?
Fluid kidogo au huenda gearbox ndio inakuaga.Nanikiweka D nikiachia pedo haitembei mpaka n accelarate..yawezekana clutchplate Inaniaga na ndio inayoleta tatizo la kustuka unapowek reverse ?
washa gari angalia level ya transmission fluid.Gari yangu Automatic Gearbox,Sometimes Inagoma kurudi Reverse...Tatizo nn?
Nitafutie kibati kinachofanana na hivi viwili kwenye gari yako.Hizi shida tunapata sababu tuko mkoani, kuna passo hapa model ya 2005, mara ya mwisho iliwekwa atf ya toyota t-iv sikumbuki mwaka, lakini juzi kati ilibadilishwa injini odo yake inazaidi ya 200,000 huko hapo likazuka jambo, o/d ina flash ukiweka R au D kutokea P ina jerk then inatoka kama haiko gia namba moja, inatoka kwa tabu, nikaenda diagnosis nikapata majibu hayaView attachment 2280023
Nikaambiwa ni solenoid bas sample ya gear box ikafunguliwa solenoid kama mbili zikatolewa zikatestiwa zikapiga zikarudishiwa, filter ikabadilishwa na atf hii ikawekwaView attachment 2280025
Baada ya kutembea km 10 ile hali ikarudi, lakini haikudumu sana ikapotea baada ya wiki hivi baada ya mwezi zaidi ikarudi ukiwasha tu gari na kuweka D au R o/d ina blink na jerk zikarudi, hapa hata sijui nifanyaje, nibadili gear box, ni calibrate TCM, nikabadili solenoid zote au nifanyaje JituMirabaMinne nakutegemea, engine ni 1kr-fe niko TA.
Gari aina gani?Noma noma sana.
Tatizo la gari kushtuka (kpuh) napotoa P kwenda D hata mie linaniumiza kichwa.
Huenda ATF iko kidogo au Gearbox inakuaga.Gari yangu Automatic Gearbox,Sometimes Inagoma kurudi Reverse...Tatizo nn?
Huenda ATF iko kidogo au Gearbox inakuaga.
Washa gari kagua level ya ATFAhsante,Ushauri wako,Tafadhali...
Nitafutie kibati kinachofanana na hivi viwili kwenye gari yako.
View attachment 2280788
View attachment 2280789
Passo Racy piston 4.Gari aina gani?
Mbona kwa maelezo yako inaonekana kama oil haiko level sawa?Passo Racy piston 4.
Engine ni K3-VE cc 1290
Hili tatizo inaweza kuwa nini...? Fundi wangu alisemaga eti ni sample ilikua imepinda, akaitoa akaiponda ponda akairudisha. Lakini bado.
Yani iko hivi, nikiwasha gari wakati wa kuondoka. Nikitoa P kwenda D (au R kwenda D) ile mara ya kwanza kabisa, inashtuka. Lakin baada ya hapo haishtuki tena.
Namaanisha ikishatuka, nikaipeleka tena P halafu kurudi D haishtuki tena. Mpaka labda niizime halafu ipoe labda nusu saa hivi. Nikiwasha tena kuhama kwenda D niondoke kwanza inachelewa kuingia gear. Halafu unasikia mshindo "Kpuh" ndio gear ya D inaingia.
JituMirabaMinne nisaidie mwenzio. Nateseka. Shida itakua nini, solenoid? Kisahani?
ATF (tena ile ya TOYOTA IV) nishamwaga na kuweka mpya mara kibao.
Hii elimu hatuna kabisa, sie tunapima ikiwa imezima na imepoa kabisa eti wanasema oil imerudi kwenye sample, naomba ucheki post namba 178 plsMbona kwa maelezo yako inaonekana kama oil haiko level sawa?
N.B.
Level ya Oil huangaliwa gari ikiwa inaunguruma, umeipaki sehemu ambayo iko level na yafaa zaidi ukiwa umetoka kutembea[engine imeshapata joto].