Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

Mkuu kuna gari aina ya alteza imepoteza nguvu cjajua ttzo nn tumepeleka garage wakasema tatizo ni plug wakabadilisha plug lakini ttzo bado lile hata mlima mdogo halipandi naombeni msaada
 
Kuna gari aina ya alteza imepoteza nguvu hata mlima mdogo halipandi cjajua ttzo nn tumepeleka garage wakasema libadilishwe plug, zikabadilishwa lakini ttzo bado lile naomba msaada mkuu
 
Lilianza taratibu
Kama lilianza taratibu anza kwa kuangalia
1.. Petrol filter
2..Fuel pump kama inatoa whining sound itakuwa imeshakufa
3...fuel pressure regulator huenda imekufa
4...Air filter

Tatizo lako lipo kwenye moja ya hayo niliyoweka hapo juu hususani kama unapata hard starting...yaani je, kuna wakati unawasha gari zaidi ya mara moja ndiyo lipokee moto..?
 
Mkuu Gari yangu ina shida kubwa moja,Kuwa inakosa nguvu speed inaishia 40km/h haswa kwenye Mwinuko ila kuchanganya unakuwa poa tatizo hasa ni nini..Mafundi wanakula sana pesa yangu mara wanasema plug,coil sasa wanasema gearbox!
 
Mkuu Gari yangu ina shida kubwa moja,Kuwa inakosa nguvu speed inaishia 40km/h haswa kwenye Mwinuko ila kuchanganya unakuwa poa tatizo hasa ni nini..Mafundi wanakula sana pesa yangu mara wanasema plug,coil sasa wanasema gearbox!

Gari yako ni aina gani? Na upo wapi?
 
Fundi ameniambia inabidi nabadilisha gearbox,km una wakala huku nije kwako au niikute huko naona ni bora kuliko fundi sio waaminifu.

Nina mfano wa mtu ambaye gari yake ilikuwa haina speed na akabadili gearbox mara mbili na tatizo likabaki palepale. Mpaka tulipokuja kujua shida ni hiyo CPK sensor ambayo inafungwa kwenye engine.

Kwa bahati mbaya sina wakala mwanza.
 
Mkuu mie nikiweka reverse inatoa huo mshindo hata kama utakanyaga brake had mwisho. Wazoefu wananiambia ni kawasaki ya rav4 oldmodel kushtuka unapoweka reverse. Ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…