Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes


Kwa hiyo unataka kusemaje mkuu. Maana mimi sijakuelewa.
 
Mimi nimeambiwa leo hii gari nimerudisha nyumbani na nimeambiwa nibadili iwe manual dah
 
Guys nmejaribu kufupisha maelezo ila nimeshindwa.
Uko vizuri Sana mkuu Ila Nani na tatizo kuna gari awali lilikuwa linawasha taa ya check engine tukaipuuzia matokeo take ikajaleta ikawaka nyekundu gari likazima kupeleka kwa fundi wakadai engine imekufa tukafungua ikanunuliwa mpya modern ileile ikafungwa haina hata wiki bado inaonesha tena check engine hapo tatizo linaweza kuwa ni nini? Msaada please
 

Shukrani Mkuu.

Mkuu bado inakuwa ngumu kujua tatizo ikiwa taa ya check engine inawaka bila gari kuonesha tatizo lolote. Ndio maana inakuwa ni vizuri zaidi kama gari inaweza kufanyiwa diagnosis na mashine.

Halafu kitu ambacho huwa sielewi ni kwamba engine inakufaje wakati mechanical parts zake zote ni nzima?
 
Samahani kiongozi naomba kujua bei za OBD2 sannner ambazo zinapima full system za Nagari nahitaji kununua na pengine wapi tapata original?
 
[SUP]Mtaalam gari yng haibadili gear na ukiweka D inanguvu ndogo xan hata sehem inakamlima kadogo haipandi alafu ule mshale wa soeed unaishia kwenye 4 tu hata ukanyage exleta hadi mwisho tatizo nn[/SUP]
 
[SUP]Mtaalam gari yng haibadili gear na ukiweka D inanguvu ndogo xan hata sehem inakamlima kadogo haipandi alafu ule mshale wa soeed unaishia kwenye 4 tu hata ukanyage exleta hadi mwisho tatizo nn[/SUP]

Suala la mshale kushindwa kuvuka 4000rpm chochote katika mfumo wa kuingiza hewa, mafuta au cheche kinaweza kuwa na shida.

Pia gearbox inaweza kuwa inaslip. Ila kwa uhakika zaidi ni mpaka hilo tatizo la engine litatuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…