Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

Mbona kwa maelezo yako inaonekana kama oil haiko level sawa?

N.B.

Level ya Oil huangaliwa gari ikiwa inaunguruma, umeipaki sehemu ambayo iko level na yafaa zaidi ukiwa umetoka kutembea[engine imeshapata joto].
Nikichomoa kale ka-dip stick Oil haiwezi kunirukia juu? Sijawahi kuchek fluids gari ikiwa inaunguruma. Naogopa.

Ngoja kwanza, hivi unamaanisha Engine Oil au ATF ya gearbox.
 
Nikichomoa kale ka-dip stick Oil haiwezi kunirukia juu? Sijawahi kuchek fluids gari ikiwa inaunguruma. Naogopa.

Ngoja kwanza, hivi unamaanisha Engine Oil au ATF ya gearbox.
Namaanisha ATF.

Oil haiwezi kuruka juu hata tone, chomoa tu.
 
Hii elimu hatuna kabisa, sie tunapima ikiwa imezima na imepoa kabisa eti wanasema oil imerudi kwenye sample, naomba ucheki post namba 178 pls
Hiyo post naikumbuka mkuu... nimeangalia hicho kibati nmeona gari yako ina transmission inaitwa A4b.

Lengo nilitaka kuangalia kwenye manual ya hiyo transmission, hiyo solenoid iliyotajwa hapo kwenye hizo DTC ni ipi exact?
 
Oh poa poa
 
Nimecheki mm naona oil iko juu zaidi ya H, ina shida oil ikiwa overfilled?
Oil ikiwa overfilled pressure inakuwa kubwa na huwa inatengeneza povu hivyo kushindwa kulainisha vizuri.

1. Hivyo unakuwa unasaga vitu taratibu.

2. Kwa sababu ya pressure kubwa unaweza kudamage baadhi ya seals ndani,ya gearbox, na hapo ndio gearbox inaanza kukusumbua.
 
Uko sahihi, nimeona povu ngoja niipunguze
 
Natumia Sienta ya 2004, imetokea hizi wiki kadhaa inakua Kama Ina mis hivi.

Tumebadli pump, plugs, coil na kusafisha safisha vitu mbalimbali lkn ugonjwa haujaisha.

Kuna mtu kaniambia tatzo laweza kuwa gear box, sijamuelewa.

Sijui inakuaje
 
Gearbox na kumisi, Hapana havihusiani.

Hiyo ni engine ukikwama utanicheck.
 
Habari yako mkuu.

Nina gari yangu aina ya Nissani Tilda.
Gearbox yake ilikuwa nzima tu, lakini gafla ukipiga stata inakataa kuwaka. Nimejaribu kumcheck fundi akaniambia tatizo ni Gearbox imeji lock hivyo inabidi aishushe chini gearbox na kutoa lock.

Je tatizo kweli linaweza kua ni Gearbox.
Samahani kwa uandishi wangu kama hautokuwa sawa

Sent from my TECNO KF6i using JamiiForums mobile app
 
Natumia Sienta ya 2004, imetokea hizi wiki kadhaa inakua Kama Ina mis hivi.

Tumebadli pump, plugs, coil na kusafisha safisha vitu mbalimbali lkn ugonjwa haujaisha.

Kuna mtu kaniambia tatzo laweza kuwa gear box, sijamuelewa.

Sijui inakuaje
Labda unatakiwa kujua maana ya neno kumiss inakuwaje. Kumiss inakuwa ni gari kama inataka kuzima yaani ni kama imeisha mafuta sasa inaishiwa nguvu.

Gearbox ikiwa na shida basi utaona gear haziingi na gari inavuma tu bila kupata msukumo wa nguvu ya gear na kuendelea kutembea.
 
Kumiss pia wakati mwingine NI mafuta machafu ndani ya engine, amwage oil tu
 
Starter inazunguka au haizunguki?

Kama haizunguki, shida inaweza kuwa starter yenyewe au gearbox kama alivyosema huyo fundi wako.

Kama inazunguka, shida ni engine.
 
Na kama shida ni gearbox ni ishu ambayo inarekebishika.
 
Ulitatua vip hii changamoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…