Baadhi ya sheria za mahusiano (mapenzi) za kustaajabisha duniani

Call me GHOST

Member
Jan 18, 2019
53
95
1. Nchini CHINA, wanawake hawaruhusiwi kutembea ndani ya chumba cha hoteli wakiwa uchi isipokuwa akiwa bafuni.

2. Nchini INDIA kubakwa kwasababu ya kukataa kutoa unyumba haichukuliwi kama ni ubakaji na mtuhumiwa hawezi kushtakiwa kokote kwa mujibu wa sheria zao.

3. HONG KONG, mke anaruhusiwa kisheria kumuua mume wake endapo atamsaliti lakini amuue kwa mikono yake mwenyewe, asitumie silaha.

4. LEBANON, wanaume wanaruhusiwa kisheria kufanya mapenzi na wanyama lakini wawe wanyama wa jinsia ya kike.

5. WASHINGTON kuna sheria inayokataza kufanya mapenzi na mtu bikra katika mazingira yoyote hata usiku wa harusi yenu.

6. Baadhi ya maeneo MAREKANI huruhusiwi kusimamisha uume wako katika maeneo ya jumuiya.

7. Nchini BOLIVIA katika mji wa Santa Cruz utaadhibiwa chini ya sheria kwa mwanaume kufanya mapenzi na mwanamke pamoja na mtoto wa kike wa huyo mwanamke [kula kuku na mayai yake].

8. Nchini COLOMBIA katika mji wa CALI wamama wanatakiwa kisheria kuwaangalia watoto wao wa kike wakipoteza bikra usiku wa harusi yao kuisha, yani ni lazima ukikiuka unashtakiwa. Ingawa hii sheria imeleta shida sana kwani kuna kesi nyingi za wamama kutembea na wakwe zao (nafikiri ushaelewa kwanini).

9. FLORIDA wanaume hawaruhusiwi kuwabusu matiti ya wake zao.

10. CALIFORNIA unaruhusiwa kisheria kutumia kondomu kufanya mapenzi na shetani, huruhusiwi kavu kwani utashtakiwa. Na wao wanaamini mashetani wapo na wanaishi nao.

11. Wanajikolojia wa nchini BAHRAIN wanaruhusiwa kumuangalia mgonjwa wa kike sehemu zake za siri kwa kupitia kioo tu, na sio kwa macho moja kwa moja.

12.OBLONG, huruhusiwi kufanya mapenzi wakati unawinda au kuvua samaki.

13. OREGON ni kinyume cha sheria kwa mwanaume kutoa laana wakati wa kufanya mapenzi, kwani wanaamini kufanya mpaenzi ni kitendo cha furaha.

14. Nchini URUGUAY mwanaume anaruhusiwa kumuua mke wake kama akimsaliti.

15. Nchini HUNGARY katika mji wa Budapest huruhusiwi kufanya mapenzi wakati taa zimewashwa.

16. LOWA, ni ukiukwaji wa kisheria kwa mwanaume mwenye mustachi kumbusu mwanamke hadharani katika jumuiya.

17. MASSACHUSETTS, ni ukiukwaji wa sheria kwa mwanamke kuwa juu ya mwanaume wakati wa kufanya mapenzi.

18. COLORADO, ni kinyume cha sheria kumbusu mwanamke aliyelala.

19. WISCONSIN, kufanya mapenzi na mwanamke asiyekuwa mke wako inachukuliwa kama ubakaji na unashtakiwa kama mbakaji.

20. ALABAMA, huruhusiwi kwenda kununua midoli ya kufanyia mapenzi, ukibainika unashtakiwa.

21. UTAH, unaruhusiwa kufanya mapenzi na mnyama endapo ni kwa malipo ya fedha.

22. MINNESOTA, hakuruhusiwi kwa wapenzi kulala uchi, lazima wavae kitu kama chupi n.k.

23. ALABAMA, ndoa ya ndugu wa damu moja inaruhusiwa kwa mujibu wa sheria zao.

24. Marekani katika mji wa ARIZONA mtu haruhusiwi kuwa na zaidi ya sanamu
[kifaa] moja lenye umbile la uume au uke katika nyumba yake.

25. WASHINGTON inaruhusu watu kufanya mapenzi kwa staili moja tu, kwani huu mji umekuwa wa kwanza kwa kupata taarifa za watu waliovunjika sehemu zao za siri kutokana na kutunga au kufanya staili nyingi kwa wati mmoja.

26. QATAR huruhusiwi kumkumbatia au kumbusu mtu katika kadamnasi.

27. Nchini INDIA huruhusiwi kufanya mapenzi ya mdomo [oral sex]. 28. WISCONSIN, mwanaume haruhusiwi kumwaga manii wakati mke wako yuko kileleni, ukibainika unashtakiwa.

29. Nchini INDONESIA, ukibainika unajichua [kupiga puchu] utafungwa miezi 32 jela.

30. BUCKFIELD MAINE, kwa mujibu wa sheria dereva taxi haruhusiwi kumchaji mteja hela ambaye hana hela na ameamua kumuofa penzi kama kufidia gharama yake ya usafiri na hii ni mpaka mteja awe anatoka kumbi za starehe pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna sheria hairusiwi kufanya mapenzi na mwanamke bila kumpa hela na usupo mpa ruksa kuua
 
No 28 inaonekana waume za huko mahanithi

Back
Top Bottom