Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,057
- 23,510
Naomba kujuzwa ni zipi kazi mahususi za ofisi za serekali za mitaa?
n.b;- Kama hakuna mwongozo tunaomba serekali itoe mwongozo Juu ya kazi za ofisi hizi,kwani baadhi zimekuwa zikisumbua wafanyabiashara ndogo ndogo kwa kudai michango mbalimbali mfano lipa fedha ofisini ukaletewe leseni,lipa fedha ofisini upatiwe Tin namba na n.k.
Nyingi zipo tabata,nyingi zinaendeshwa na vyama pinzani na CCM.
•TUNAOMBA WAZIRI TAMISEMI ATOE MIONGOZO MAPEMA KABLA WANANCHI WALIOPO PEMBEZONI MWA MJI HAWAJAUMIA KWA PENGINE KUTOKUJUWA TARATIBU VYEMA.