Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,687
Binafsi Ni mtu mmoja mpole Sana , na ni mtulivu pale inapo bidi Ni Kama introvert flani hivi nilie changamka. Pamoja na hayo Ni mtu ambaye nikisha mzoea mtu na mtu akanizoea basi ni lazima awe rafiki yangu.Muda mwingi nikiwa na marafiki Mimi Ni mtu wa kuongea pumba Sana Sinaga point labda niwe na shida ya msingi.
Kutokana na hiyo tabia wengi walikua wananichukulia poa na kuniona Sina malengo na Mimi Ni mpuuzi kwa walio piyia chuo wanakijua hichi.
Basi Kuna wale walio furahia mizaha yangu na kutaka kuja kuifanya kwenye maisha yangu halisi walishangaa kuona Tena tunagombana
kumbe Mimi katika maisha halisi sio mwepesi kiivo pale linapo kuja swala la msingi basi upuuzi wote mfukoni .
Kwenye swala la kuwabandua wakina dada sikua nyuma nami nilikuepo ...kitendo kilicho fanya baadhi ya boys kushangaa nawezaje kuwala watoto wazuri wakati mimi Ni mtu wa mzaha Sana? Kumbe mwenza Kuna pointi moja katika civics huko form three inafanya kazi Hadi leo "Copy with the society" . Na mademu niliwabandua ukweli ila Kuna huyo Alie nifanya niandike huu Uzi.
Ff>>>> alikua Ni demu mmoja wa kinyaturu mweupe urefu saizi ya kati, alikua Ni mpole Sana ila kutokana na maujinga yangu tu akawa amenasa nayo basi siku nikaombwa nikamgundishe programming ...basi nikajibeba mwenyewe kuenda kumfundisha programming kwenye vimbweta vya chuo sikutaka kumleta gheto cos sikua na mawazo nae hata kidogo ya kumla na Mimi nilijua Ni kufundishana tu.
Basi nikawa nimefika chuo kutokea geto , basi kufika pale nikakuta mtoto amesha fika ananisubiri ile kufika tu akavhukua leso na kuanza kufuta sehem ya kukaa Mimi na kuambiwa karibu. Basi pale Kama kawaida yangu Sina stress na maisha nikatoa ile Salam ya kujiamini utafikiri namdai mo...
Mrembo akaitikia kiabu aibu huku Mimi nikichukulia Mambo rahisi tu kumfundisha mtu programming na kusepa zangu
basi nikatoa pc yangu na not book yangu nikaanza kumchilea ma alogarithm pale naona mtu anaitikia tu ....nilivyo fika kwenye ma condition statements naona Kama mtu hayupo hivi kumuuliza wewe vipi mbona Kama hatupo pamoja ...? Akajibu miles kiukweli Leo sipo poa kivile nafosi Mambo tu yaende . Kisa nini bibie .....? Aaaah we acha tu . Naamin Kama umeniita hapa nikusaidie programming basi na Hilo nawezaje saidia . Akaniuliza tu hivi nyie wanaume mbona wajinga sana.....? Kwa hiyo hapa upo na mjinga wa kiwango gani....? Yeye hapana sio hivoooo ile kujitetea na kunishika mikono na kisura Cha upole 

Mimi basi naondoka maana Usha Anza matusi ya kutukana wanaume .
Hapana miles sijamaanisha hivo naomba unielewe . Mimi mhhhh endelea tumekufanyia nini....? Oh huwezi Amin boyfriend wangu sijui kafanya Nini sijui Nini bla bla bla ............kifupi Ni Kama bado mtoto . Mimi mmeanza kudate lini ....oh tokea form five me okay ....... Yeye nataka kumuaacha . Ohh kwa Nini Tena ....?nimesha kuambia. Haya Kila rahel kwenye muachano wenu.....alicheka Sana na kuniuliza kwa umakini mkubwa Miles hivi kwa Nini wewe Ni mcheshi Sana.....? Na maisha yako yapo so simple . Nikamjibu basi ni vile tu mom en dad walivyo kuwa wanakanda udongo wangu walikua na furaha Sana

.... Aiii miles acha kutania wazazi .
Nikaulizwa leo jioni utapika Nini .....? Ugali wa dona na maziwa ya mgando na vidagaa vya kurosti vya mama Jacky. Mama Jacky ....? Eee mama yetu analost dagaa na samaki jioni pale kitaa. Oh natamani na Mimi Nile hicho chakula chako ...! Hilo tu bibie twende tuwahi mapema maana sufuria nakumbuka sikuloweka hivyo tuwahi nikaloeke tulioshe mapema tutoe upara wa mzungu.....alifurahi Sana Hadi kunyanyuka akawa anaelemewa .
Basi bana kwa shangwe lote akanyanyuka hao Hadi geto kufika geto akakuta vyombo vyote visafi geto Safi vitu vya maana tv , bufa Sean piano , bed king , kiufupi geto Lile mrembo yoyote hachomoki hasa wa chuo Kama mnavyo jua maisha ya chuo ukikuta mwanafunzi ana tv huwa life lake Ni zuri.
Basi pale nikapokea pongezi za kufa mtu na maneno Kama miles mtu akikuona huko nje na ulivyo tofauti wanaume wengi Sana wanakuona fala kumbe umewazidi hivi

nikamwambia watu wengi ndio walivyo simama tukatoe oda kwa mama Jacky 

Ff>>> basi nilienda nae hivyo huku Mimi akilini nikiwa Sina wazo la kumla Wala mahusiano nae . Cos nilikua na wanawake wengine watatu nilio kua nao kwenye serious relationship na wengine debe Zima wa chapa ilale .
Basi siku akaniomba aje geto katika story mbili tatu akasimama mbele yangu na kuniambia eti miles kwani mimi sivutii.......? Kutupa macho mbele naona mtoto katinga kimini Cha rangi ya dam ya mzee na miguu yake myeupe ,kiuno chembamba na katumbo flani hivi
Itaendelela .......someni Kwanza hii isije ikapotea .......kunavisa huko mbele hadi vya kuzinguana na lecture/Mkufunzi kisa huyu manzi.
Kutokana na hiyo tabia wengi walikua wananichukulia poa na kuniona Sina malengo na Mimi Ni mpuuzi kwa walio piyia chuo wanakijua hichi.
Basi Kuna wale walio furahia mizaha yangu na kutaka kuja kuifanya kwenye maisha yangu halisi walishangaa kuona Tena tunagombana
kumbe Mimi katika maisha halisi sio mwepesi kiivo pale linapo kuja swala la msingi basi upuuzi wote mfukoni .Kwenye swala la kuwabandua wakina dada sikua nyuma nami nilikuepo ...kitendo kilicho fanya baadhi ya boys kushangaa nawezaje kuwala watoto wazuri wakati mimi Ni mtu wa mzaha Sana? Kumbe mwenza Kuna pointi moja katika civics huko form three inafanya kazi Hadi leo "Copy with the society" . Na mademu niliwabandua ukweli ila Kuna huyo Alie nifanya niandike huu Uzi.
Ff>>>> alikua Ni demu mmoja wa kinyaturu mweupe urefu saizi ya kati, alikua Ni mpole Sana ila kutokana na maujinga yangu tu akawa amenasa nayo basi siku nikaombwa nikamgundishe programming ...basi nikajibeba mwenyewe kuenda kumfundisha programming kwenye vimbweta vya chuo sikutaka kumleta gheto cos sikua na mawazo nae hata kidogo ya kumla na Mimi nilijua Ni kufundishana tu.
Basi nikawa nimefika chuo kutokea geto , basi kufika pale nikakuta mtoto amesha fika ananisubiri ile kufika tu akavhukua leso na kuanza kufuta sehem ya kukaa Mimi na kuambiwa karibu. Basi pale Kama kawaida yangu Sina stress na maisha nikatoa ile Salam ya kujiamini utafikiri namdai mo...
Mrembo akaitikia kiabu aibu huku Mimi nikichukulia Mambo rahisi tu kumfundisha mtu programming na kusepa zangu

basi nikatoa pc yangu na not book yangu nikaanza kumchilea ma alogarithm pale naona mtu anaitikia tu ....nilivyo fika kwenye ma condition statements naona Kama mtu hayupo hivi kumuuliza wewe vipi mbona Kama hatupo pamoja ...? Akajibu miles kiukweli Leo sipo poa kivile nafosi Mambo tu yaende . Kisa nini bibie .....? Aaaah we acha tu . Naamin Kama umeniita hapa nikusaidie programming basi na Hilo nawezaje saidia . Akaniuliza tu hivi nyie wanaume mbona wajinga sana.....? Kwa hiyo hapa upo na mjinga wa kiwango gani....? Yeye hapana sio hivoooo ile kujitetea na kunishika mikono na kisura Cha upole 

Mimi basi naondoka maana Usha Anza matusi ya kutukana wanaume .Hapana miles sijamaanisha hivo naomba unielewe . Mimi mhhhh endelea tumekufanyia nini....? Oh huwezi Amin boyfriend wangu sijui kafanya Nini sijui Nini bla bla bla ............kifupi Ni Kama bado mtoto . Mimi mmeanza kudate lini ....oh tokea form five me okay ....... Yeye nataka kumuaacha . Ohh kwa Nini Tena ....?nimesha kuambia. Haya Kila rahel kwenye muachano wenu.....alicheka Sana na kuniuliza kwa umakini mkubwa Miles hivi kwa Nini wewe Ni mcheshi Sana.....? Na maisha yako yapo so simple . Nikamjibu basi ni vile tu mom en dad walivyo kuwa wanakanda udongo wangu walikua na furaha Sana

.... Aiii miles acha kutania wazazi .Nikaulizwa leo jioni utapika Nini .....? Ugali wa dona na maziwa ya mgando na vidagaa vya kurosti vya mama Jacky. Mama Jacky ....? Eee mama yetu analost dagaa na samaki jioni pale kitaa. Oh natamani na Mimi Nile hicho chakula chako ...! Hilo tu bibie twende tuwahi mapema maana sufuria nakumbuka sikuloweka hivyo tuwahi nikaloeke tulioshe mapema tutoe upara wa mzungu.....alifurahi Sana Hadi kunyanyuka akawa anaelemewa .