Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,596
- 19,018
TISS Derpartmen inawatakieni mchana mwema..
Kule nchi ya Uholanzi kuna kiwanda cha bia kinaitwa Hainekken sijui Hennseny yule tajiri anayekimiliki alishawahi kutekwaga.Why Africa?
Hapana ni list ya mabilionea duniani, google hao wengine kama utaweza kuwapata kwenye majarida kama Forbes na Bloomberg. I stand to be corrected .! wao ni wafanyabiashara wakubwa lakin kwenye list ya mabilionea duniani hawapo .!Huenda list uliyomkuta ni ile ya matajri vijana
Sasa mnabishana kweli ni billionaire au vipi duuuh mna mambo wabongo badala ya kujiuliza atatokaje mwenzetu mnabishana ujingaHapana ni list ya mabilionea duniani, google hao wengine kama utaweza kuwapata kwenye majarida kama Forbes na Bloomberg. I stand to be corrected .! wao ni wafanyabiashara wakubwa lakin kwenye list ya mabilionea duniani hawapo .!
Umeona wapi tunabishana mkuuSasa mnabishana kweli ni billionaire au vipi duuuh mna mambo wabongo badala ya kujiuliza atatokaje mwenzetu mnabishana ujinga
Tujali afya ya binadamu mwenzetu
Tupate orodha ya Tz.Heri yako
Wengi sio mabilionaire, ni huyo tu peke yakeTupate orodha ya Tz.