Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,653
1. Shiraz Gathoo. Huyu ni bilionea kutoka Afrika ya kusini aliepata kutekwa mnamo mwezi wa 3 mwaka huu.Waliomteka walitengeneza kizuizi feki cha polisi na kisa kumpeleka kusikojulikana. Aliachiwa baada ya miezi 5.Alikana kwamba hakutoa pesa yoyote lakini wajanja wanakuambia alitema mpunga mrefu ila hakutaka kusema ukweli kwa sababu za kiusalama.
2.Andre Hanekom. Huyu pia ni bilionea kutoka Afrika kusini lakini biashara zake anafanyia Mozambique(Msumbiji).Huyu alitekwa mwezi wa 3 alipokua kwenye parking ya hotel iitwayo Amarula Hotel katika mji wa Cabo Delgado.Alitekwa na wasiojulikana 5.
3.Liyaqat Ali Parker.Huyu ni bilionea kutoka Afrika kusini.Alitekwa mnamo mwezi wa 7 akiwa ndani ya jengo la ofisi zake katika mji wa Capetown.Anamiliki supermarket ziitwazo FoodWorld huko sauzi.
4. Chief Michael Obi. Huyu ni bilionea kutoka Nigeria ambaye pia ni baba wa mcheza mpira maarufu, Obi Mikel.Alitekwa kabla ya mechi ya Kumbe la dunia baina ya Nigeria na Argentina.Hii ilikua ni mara ya pili tajiri huyu mtata anatekwa ambapo mara ya kwanza ilikua mwezi wa 8 mwaka 2011.