Baadhi ya dalili za taifa liangukalo

Baadhi ya dalili za taifa liangukalo

Matumizi ya vyombo vya dola kupita kiasi ( matumizi ya nguvu) kuwanyamazisha wale wanaowakosoa viongozi walioko madarakani au kutoa ushauri chanya juu ya masuala muhimu ya kitaifa ndio dalili kuu ya kushindwa kwa tawala zilizochokwa na wananchi wake. Kwa maana nyingine ni mwanzo wa udicteta, wananchi huwa hawasikilizwi na viongozi ndio hujifanya kujua suluhisho la kila tatizo.

right sir
 
Unafiki (hypocracy) kutawala maisha ya watu hasa viongozi
 
Back
Top Bottom