Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Habari njema wanajanvi kumbe si UKawa peke yao wanaotaka ile Rasimu ya Warioba iheshimiwe ,kuna makada mbalimbali wa CCM ambao wameapa kutokubaliana na rasimu ya CCM ya serikali mbili kuelekea moja na kama kufukuzwa chama wamesema wao watakuwa sio wa mwanzo ,watapinga waziwazi na hawatolipigia kura eneo lolote lile na kuliunga mkono kama pendekezo ni serikali mbili.
Na mwisho watatoka ndani ya Bunge na kupunguza idadi ya kura zinazohitajika hivi sasa wametulia tu na wanaangalia mshindo ila wamesema WaTz watashangaa mwaka huu.
Na mwisho watatoka ndani ya Bunge na kupunguza idadi ya kura zinazohitajika hivi sasa wametulia tu na wanaangalia mshindo ila wamesema WaTz watashangaa mwaka huu.