Baadhi mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam na muonekano wake katika picha.

Kutoka MnaziMmoja kuelekea City Centre.



Viwanja vya MnaziMmoja.


Picha kwa hisani ya simu ya Mchina.
 
Hapa mbezi kuzuri unajua kupiga picha
 
huu weupe unaopita hapo juu ni mmojawapo wa mtaa wa Jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…