kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,127
- 24,424
Haya ameyasema mwanae mropokaji wa hovyo kwenye mitandao ya kijamii muhoozi kainerugaba
Kwamba Baada ya Yesu hakuna kiumbe bora duniani kama Museven
Huyu jamaa ni mzima kichwani kweli? Huyu mtusi ana matatizo ya akili sio bure
Sema waganda ni kama sisi tu tulivyoridhika kukandamizwa na haya majambazi na vibaka wa ccm