Baada ya vikwazo vingi tunafunga ndoa mwaka mpya

Hongera sana maisha magumu sana sasa iv lazima kutafuta fursa. Komaa jinyenyekeze kibibi kitakufa icho kitakuachia mali utaoa binti wa miaka 15 utafuta machungu ya kungonoka na kibibi. Zama had chumvini maana hakuna namna nyingine sasa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ahaaaaaa isamilo? Ntakuja kushuhudia hao wanaokuonea gele
 
Umependa hela maana vijana wa Leo mnapenda holoholo sana
 
Anapenda hela tu sio mapenzi
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…