Baada ya utawala wa Kagame: A genocide in mute?

Baada ya utawala wa Kagame: A genocide in mute?

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,578
Reaction score
2,471
Kuna mengi yamesemwa kuhusu uhalamia wa PK na genge lake la uhalifu ndani na nje ya Afrika na UN report zimedhibitisha hilo ingawa PK mwenyewe na watu wake wamekuwa wakizipinga kwa jeuri kuwa ni nonsense na uzushi. (May be...or may be not..!). kwa miaka zaidi ya 20 Kagame ameitawala Rwanda kwa mkono wa chuma na alifanikiwa. Licha ya mafanikio hayo, PK amegombana na karibia kila jirani yake na hata wasio jirani yake like France and Belgium kwa sababu anazozijua yeye. wataalam wa mambo wanasema kuwa, ana-trade through genocide to gain world sympath and benefit. (RIP to 1000000+ TUTSI & Hutu moderate who lost their life bse of genocide). Makala Hii Inaangazia usalama na majaaliwa ya wanyarwanda baada ya utawala wa kagame na swali likiwa je ni genocide in mute?. kuna mengi yametokea na yanaendelea kwenye siasa za Nchi ya Rwanda. Ningependa kuchagiza baadhi ya mambo, ambayo kwa njia moja ama nyingine, yanaleta hofu:-
  1. PK anagombana na jamii yake (TUTSI) na wengine wako in exile. wahutu nao ndo hivyo tena. kuna makundi ya kikabila, lakini hayaonekani machoni kwa kuwa hayana platform na hayawezi kujitokeza hadharani kuhofia future zao. wanaishi kama North Korea na hawana pa- kusemea. It's obvious, PK akiondoka...hawa watu waliokaa kimya milele watazungumza and the unthinkable may happen...
  2. Waasi wa FDRL bado wapo, live and kicking..! sina statistics zao lakini cha kutambua ni kuwa wanazaliana na wanaongezeka in numbers. Kiini cha genocide ya 1994 bado hakijatafutiwa ufumbuzi. watawala wa Rwanda wameridhika and they don't bother kutafuta amani ya kudumu. After kagame regime, huenda Rwanda Ikachafuka kuliko kipindi chochote.
  3. Kuna kitabu kinaitwa From genocide to continental war cha Gerald Prunier ambacho kimeelezea uvamizi wa Congo na Assassination zinazofanyika kwa wapinzani wa kagame within and beyond the continent. Diplomasia ya Rwanda na Baadhi ya Nchi kama South Africa, France iliingia dosari miaka ya Nyuma kufuatia matendo ya serikali ya PK. Ikumbukwe kuwa...France walihusika na genocide ya 1994...je PK akiondoka, who will save Rwanda from vengeance and retaliation of these deadly foes?
  4. DRC bado ina machungu na vita ile ya 1998, na hawana cha kufanya kwani ni sawa na kubwa jinga (DRC haina jeshi lolote la maana) na wasiwasi ni kuwa utawala wa PK ukiisha, Congo inaweza kuwa kichaka cha waasi na adui wa Rwanda. The same applies to Burundi.
  5. PK amegombana na watu wengi na watu hao bado wapo na wana nguvu kubwa ya kisiasa na kidiplomasia. Je akitoka madarakani watu hao hawatolipiza kisasi?
    1553008073685.png

    1553008207699.png
CC. Jiwe na wenzake
 
Mzee amechoka tu! Kujichanganya kwingi, namengine atayasema tu Dunia itajua. M7 accidentally writes to President kagame and accidentally leaked to new papers before to whom it may concern .
 
"Watu wanapo kaa kimya kwasababu ya kuwafanyia vitendo vya kigaidi haimaanishi kuna amani" General Nyamwasa
 
"Watu wanapo kaa kimya kwasababu ya kuwafanyia vitendo vya kigaidi haimaanishi kuna amani" General Nyamwasa
Nyamwasa moja kati ya majeneral waoga zaidi ulimwenguni

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, nimejaribu KUKAA katikati ya 'Sentensi' hz , NIMEKUELEWA

MTC | 101| [emoji769]
 
Back
Top Bottom