SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,318
- 2,912
NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato.
Majibu niliyopewa ni kuwa sasa hawatoi statement mpaka watakapopokea maelekezo toka juu hivyo nitaendelea kukatwa labda baada ya mwezi Julai watakapoanza kutoa statement.
Hii imeniuma sana na kujion, naomba kama kuna mwenye mawazo tofauti katika hili.