Baada ya Simon Sirro kung'olewa, who is Next?

Kwa" machinga "hapakua na njia nyingine,
Wangeendelea kuachwa wajiamlie pakuweka biashara zao tungekua nchi ya ovyo kabisa.
 
Mku kuna maisha baada ya uongozi ndo maana Mzee Mkapa aliomba msamaha juu ya ubinafsishaji wa Mali za umma.
Uongozi sio uadui kwani kiongozi mzuri hupata ushirikiano mzuri kutoka kwa anaowaongoza
Lakini sasa kama wanao ongozwa hawaonyenyeshi ushirikiano. Kiongozi hutakiwi kuogopa, unachotakiwa kuzingatia tu ni kua unachokifanya ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…