Hapo unaposema suala la Machinga eti alishauriwa vibaya nadhani haupo sawa. Alichofanya Mama ni jambo la kupongezwa na yeyote mwenye akili. Nchi haiwezi kuwa na watu wanaotaka kufanya biashara za nyanya na dagaa kwenye barabara au popote tu ilimradi mtu kajisikia , ni vurugu hakuna utaratibu , miji inaonekana michafu.TISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
Achaga upumbavu! unataka machinga waendelee kukaa barabarani?TISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
Mku kushauriwa vibaya kwani kumbuka hawaliopp huku chini yake ambao wanahusika na hii sector ndo wanaomwangusha.Swala la machinga huwezi kusema kashauriwa. Hilo ni swala ambalo lipo na siku zote linatakiwa kutekelezwa ila ni sababu za utu na siasa ndo zinafanyaga lisitimizwe vizuri
Du mkuu, mimba aliyo kuweka inakusumbua unamuota kila wakati, kuna uhusiano gani kati yake na huu uzi na yeye?Mbowe mbioni kung'olewa
anayefuata ni mboweKuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Anayefuata ni yule mkwe wa Mbowe anayeitwaKuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Shetani hajawahi kumshinda MunguKingai kawa DCI. Usisahau hilo
Hii ya TAKUKURU ni kweli imeshindwa Kufanya kazi zake na hii ingevunjwa kwanza na kesi zote za kisiasa ilizofungua hii TAKUKUTU zifutwe , Leo taasisi hii bila aibu inapewa maelekezo na mtu kama PM katelefoni , RC hapi, v DC, v DED, MP gambo hao Sasa hivi wanamsikiliza sana PM wakiamini atapindua meza ya SSH 2025Takukuru.
Ohoooo !!!Hii ya TAKUKURU ni kweli imeshindwa Kufanya kazi zake na hii ingevunjwa kwanza na kesi zote za kisiasa ilizofungua hii TAKUKUTU zifutwe , Leo taasisi hii bila aibu inapewa maelekezo na mtu kama PM katelefoni , RC hapi, v DC, v DED, MP gambo hao Sasa hivi wanamsikiliza sana PM wakiamini atapindua meza ya SSH 2025
Hizi teuzi mbili za IGP na DCI zahitaji umakini sana khasa sasa hivi ambapo nchi ipo njia panda.Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Chuki ni kawaida kwa kiongozi. Ukiziogopa huwezi kamilisha mipangoMku kushauriwa vibaya kwani kumbuka hawaliopp huku chini yake ambao wanahusika na hii sector ndo wanaomwangusha.
Ukitaka kujua hilo nenda Kariakoo Mgambo wa jiji uangalie wa na kufanya Kazi kwani kumbuka wanazidi kumwongeze mama chuki kwa Machinga
ππππππShetani hajawahi kumshinda Mungu
Mku kuna maisha baada ya uongozi ndo maana Mzee Mkapa aliomba msamaha juu ya ubinafsishaji wa Mali za umma.Chuki ni kawaida kwa kiongozi. Ukiziogopa huwezi kamilisha mipango