Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,704
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi , BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI , kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo , unayefuatia ni wewe .
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona , sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia ?
May be nyuma ya mageti makubwa na ile nyumba nyingine yenye siri kali.Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Mbafff kabisa.Biteko
Mbowe mbioni kung'olewaKuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Ili asichanganyikiwe "kagawiwa" ubalozi.
Kuna wazazi wana hasara sanaMbowe mbioni kung'olewa
Sukuma gang on the movemahahara 80% +kiinua mgongo.
gari la kutembelea kutoka serikalini na huduma za vyakula na vinywaji.
ulinzi nyumbani na aendako+escort.
ndugu zangu maskini kama nyinyi ndio mtachanganyikiwa sio hao viongozi.
yaani mtu anapewa chaka ili asiendeee kuiumiza serikali halafu iajiri mtu mwingine sehemu fulani.anapewa yeye.
Inayofiata ni TANESCOš¤Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Ndo yeye alojaza/kawagawia ndugu zake Wanyarwanda kwenye Migodi yetu ya Wachimbaji Wadogo WadogoYule wa wa madini
Kingai kawa DCI. Usisahau hiloKuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
TISS.Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, BAADA YA MWENZIO KUNYOLEWA WEWE TIA MAJI, kwa Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba baada ya Mwenzako kutendewa jambo, unayefuatia ni wewe.
Bila shaka mabadiliko yanayofanyika mmeyaona, sasa baada ya Sirro mnadhani ni yupi anafuatia?
Swala la machinga huwezi kusema kashauriwa. Hilo ni swala ambalo lipo na siku zote linatakiwa kutekelezwa ila ni sababu za utu na siasa ndo zinafanyaga lisitimizwe vizuriTISS.
Mama anatakiwa afanyekazi na anaowaamini kwani Sukumagang walikuwa kotekote so wakishaondoka hao basi kwani watakuwa chini ya uangalizi.
Hata Sirro kupewa Ubalozi ni sehemu ya uangalizi.
Mwendazake alisisi chama ndani ya chama kwani lazima waondolewe ili kumfanya Kiongozi Mku awe huru ktk utendaji wake.
Mama anafanyia Kazi ktk mazingira magumu hata machinga kuondolewa alishauriwa vibaya ili aendelee kuchukiwa kwani chuki kwake ni kubwa.
Na tukumbuke mama ameridhi madeni makubwa ambayo anayoyalipa ndo maana mambo mengine hayaendi lakini wengine wanaojua hili hawaliongelei
Yupo sana tu huyu ataondoka muda wake ukifika kama ilivyokuwa kwa MabeyoDiwani Athumani
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!