Baada ya sakata la madawa ya kulevya, ni kamari!!

Malezi mabaya katika familia yako yasiwafanye na vijana wengine wasijihushe na betting
kwa familia yangu hajatokea mvivu wa aina hiyo kutwa vijiwe vya bet halafu alalamike hali ya.maisha ngumu!
 
tumia akili nyingi kufikilia,hivi hujui kama hizo gaming zimesajiliwa na zinalipa kodi kama kawaida?!! alafu hujui kama betting ni kazi kama kazi nyingine?!! kuna vijana kibao wamepata ajira kwenye hizo betting kampuni na wengine wameajiliwa kabisa...."BETTING NI KAZI ,WENGINE TUNAISHI KWA KUPATA KIPATO KUPITIA BETTING" unataka tena MAKONDA aje na huku kwenye kubet,,?!
aje tu maana mkuu athari yake ni kubwa baadae vijana hawana labkufanya zaidi ya kushinda katika vituo vya beti huonikama MNALEMAZA NGUVUKAZI YA TAIFA,?
 
Naomba hata gongo ipigwe marufuku maana inawaumiza sana vijana wetu,inaugunza viungo muhimu vya mwili na kupunguza ufanisibwa kazi za hizo organ mfano ini, wanaotumia gongo wana hatari ya kupata kisukari ktk maisha yao,huenda kikawa cha chini au cha juu,tupige vita pombe haramu kama gongo inauwa taifa
 
HAIJAWAHI KURUHUSIWA MKUU.NIMEANZA KUWA SEMINISHA WALOKUA WAPIKA GONG AINA NYINGINE ZA BIASHARA TOFAUTI NA HIYO MAANA PIA WANATUHARIBIA NGUVU KAZI YA TAIFA
 
GONGO HAIJAWAHI KURUHUSIWA MKUU CHA KUFANYA NI KUANZA NA ELIMU NA MITAJI KWA WAPISHI WABADILI BIASHARA
 
HAIJAWAHI KURUHUSIWA MKUU.NIMEANZA KUWA SEMINISHA WALOKUA WAPIKA GONG AINA NYINGINE ZA BIASHARA TOFAUTI NA HIYO MAANA PIA WANATUHARIBIA NGUVU KAZI YA TAIFA
Nakuunga mkono ni kweli haijakubaliwa ila huku kwetu hyo kitu inapigwa wazi wazi na wahusika wapo tu wala hata hawahangaiki na wakati wanawajua wapikaji na mda wanaokunywa lkn ukipita kituoni wapo tu wamekalia pikipiki zao na viti

Inauma mkuu acha tu
 
Tujipe pole sote.mtaani kwetu walikuwa wanakuja na hayo wanayoyakalia huko kwenu wanaingia mabandani wakitoka wanagawana tukawaanzishia kila wakija na raia tunajazana kibao mgao ukawa hautoki mwisho wa siku tuaanza na wapishi tukawa elimisha,nyie mnapika mnauza wenzenu wanakuja beba mshiko sasa tuwakomoe mfanye biashara tofauti sisi raia wenzenu tutawawezesha mambo ni MAZURI SASA ndugu
 
Back
Top Bottom