Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Kati ya mambo yatakayo-hit zaidi ni pale huyu mkuu wa mkoa atakapoanza kulipigia upatu ni biashara ya kamari!
Biashara hii maarufu kama kubet ni miongoni mwa shughuli ambazo zimekuwa zikiwaweka vijana wengi bize kwenye betting station na wengine kutumia simu zao kubashiri michezo mbalimbali!
Naamini kwa hili lilitokea kwenye madawa ya kulevya siyo ajabu basi suala la vijana kucheza kamari kwenye vituo mbalimbali likaanza kufuatiliwa na vijana kuwekwa ndani!
Ni suala la mda, huo upepo utapita...