WanaJF,
Uongozi wa CHADEMA taifa, hapa namzungumzia Mbowe kama mwenyekiti wa chama na Lowassa kama mwenye chama, wamebaini kuwa ziara za kumtembelea Sumaye hospitalini Muhmbili, baada ya rais kwenda kumuona kiongozi huyo mstaafu, kuwa zina 'kick' hivyo wamepanga kama chama kufanya matembezi ya kishindo hospitalini hapo. Chanzo chetu kimebaini.
Tangu ndugu Sumaye alazwe hispitalini hapo, siku ya alhamisi ya wiki iliyopita kwa kusumbuliwa na maradhi ya moyo, hakuna hata sura moja ya kiongozi wa taifa CHADEMA iliyopeleka hata juisi ya ukwaju kwa kiongozi huyo muhimu katika chama hicho, ingawa wote walikuwa na taarifa juu ya kuugua kwake!
Inasemekana umuhimu wa Sumaye kutembelewa pale Muhimbili na chama hicho umeibuka baada ya rais Dkt Magufuli na waziri mkuu Majaliwa kumtembelea kiongozi huyo kwa kuwa 'media' imetawala stori hiyo...Hivyo CHADEMA taifa kama ilivyo ada kwao wamejipanga kutembea na nyota hiyo ya Sumaye.
Aidha, kwa sasa mipango kabambe inasukwa na CHADEMA ya namna ya Lowassa na Mbowe watakavyofanya ziara yao Muhimbili kwenda kumuona ndugu Sumaye, ambayo pamoja na mambo mengine, ziara hiyo imeandaliwa kuwa na mafuriko yatakayo tikisa jiji. Stay tuned for usanii huu. Hii ndio CHADEMA!