Baada ya Rais Magufuli kuibeba CCM, nani ataibeba CCM tena??

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,119
Tukumbushane kidogo wana ccm, ccm ilikua taabaan, hoi yaan maji ya shingo!! Kila unayemgusa ni jipu!! Anatuhuma za rushwa ama mzembe wa kazi. Yaan ilikua shida sana kupata mtu wa kushika nafasi hiyo.

Akapatikana Dr magufur , sitak kujadili njia zilizomfanya apatikane lakn akapita yeye.wengi wa wana ccm mnajua fika bila dr Magufuli kupitishwa katika uchaguz uliopita ccm ilikua imeelekezwa kibla!.

Katika uchaguz huo magufuli alipata shida sana sana sana, mpaka alikua analalamika kusalitiwa ndan ya chama!! Ccm wakaondoa neno ccm katika mabango yao wakaweka chagua magufuli . Magufuli mpaka kesho anasema serikali yangu !! Kajisahau ile ilikua kauli tu ya kumpa kula ila sasa ni serikali ya ccm. Kwann aliaminiwa kwa kiasi hicho?
ni japo kwa utendaji wake wa kujituma katika secta alizowahi kuzisimamia. Wizara zote alizopitia alijizolea sifa, achilia mbali madhaifu yake kadhaa alionayo. Kwa hayo ndio akapata zile kura chache kwa wachache waliokua wanamfaham kwa hayo machache . Maana yake angekua mwingine hata kura za kujazilizia zisingekuwepo kabisa kila kapu lingesoma 0

Je baada ya miaka mitano nani anaweza kuibeba ccm kama 2015? Chukulia yeye anaondoka nan mbadala wake??

Je bango linaweza someka chagua Makamba?
, chagua makonda ? Chagua Mwigulu?? Chagua Jenister?? Chagua Lusinde mzee wa mipasho!!?? Chagua yule tutoe sanamu ya Daimond!! Yule mkuu wa mkoa wa mwanza namkumbuka kwa utendaji wake uliotukuka wa nifanye kaz mm mkale hela na wake zenu
Na wengine na wengine hata kitwanga atakua ameacha

Yaan nauliza hivi nani anaweza kuibeba tena ccm katka uchaguz ujao kama magufuli alivyoibeba uchaguz uliopita???
 
Back
Top Bottom