chid benzi ni mkali sema tu ana stress za maisha ambayo ajatalajia,kulogwa na madawa ya kulevya.Hakuna msanii anaweza kuwashinda hawa jamaa kwa michano na free style ni wakali sana hata kwa kuwasikiliza huwezi kujutia bahat yao mbaya watanzania hatuupi mziki wa hip hop kiapaumbele one mzee vina mwanzo kati mwisho.
Kidogo anaweza kusogea godzilla nae masifa yamempoteza mwanzo alikuwa anakuja vizur sana hapa hamna cha mwamba wa kaskazini wala ngosha.
Walimwagana sema haijulikani nani alommwaga mwenzake afu yule mtoto wa grace ni wa One au alikua baba wa kambo?sorry niende nje ya mada kidogo!
hivi huyo One incredible bado yupo na Grace matata au alikuwa anamtumia tu binti wa watu?[emoji20][emoji20]
Ha ha ha kulogwa tenachid benzi ni mkali sema tu ana stress za maisha ambayo ajatalajia,kulogwa na madawa ya kulevya.
Anajiita chidi ngada siku izichid benzi ni mkali sema tu ana stress za maisha ambayo ajatalajia,kulogwa na madawa ya kulevya.
Kuna selementary piaKuna huyu hidary scoda,hii habari nyingine kwa kizazi hiki
Walimwagana sema haijulikani nani alommwaga mwenzake afu yule mtoto wa grace ni wa One au alikua baba wa kambo?
Huyu wa kuimba wowowo?
Wrong..... kale katoto kana baba yake.Mtt wa One maana kama kapiga copy & paste