Baada ya mwenzao kupigwa Mtwara madaktari waamua kujilinda kwa mtindo mpya

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,865
image.jpeg
image.jpeg
Hii imekuja baada ya Daktari mmoja wa hospitali ya Ligula Mtwara kupigwa na ndugu wa wauguzi kwa "kosa" la kumpa rufaa ya kwenda Muhimbili wakati ndugu walitaka waende Ndanda.Hali hii imewafanya Madaktari waamue kujilinda kwa namna mpya ili kukabiliana na hali hii popote itakapotokea
 
Back
Top Bottom