mwana wa mtemi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 374
- 204
Nasikia walienda dispensary usiku wakimsihi wana mgonjwa alipotoka akachinjwa.
Waliopo Geita watujuze vinginevyo hali yazidi kuwa tete kama ni kweli kwa watumishi wa afya nchini
Waliopo Geita watujuze vinginevyo hali yazidi kuwa tete kama ni kweli kwa watumishi wa afya nchini