Baada ya mihuri sasa iondolewe sitting allowance ya wabunge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,251
168,824
Muhuri ulikuwa kama posho kwa wenyeviti wa s/mtaa maana walikuwa wanatembea nayo kwenye makoti na mikoba.Ili siasani parejee kuwa mahali salama na kimbilio la wanyonge mkuu tuondolee na zile "sitting allowance" za waheshimiwa sana wa Dodoma.Na huko tuendako tufikirie kufuta ruzuku ya vyama vya siasa maana nao ni ufisadi.Mfano chadema pamoja na ruzuku ya mamilioni kila mwezi hawana wanachomiliki hata jengo tu la ofisi ya kijiji hawana achilia mbali makao makuu.Afadhali hata chama cha Lyatonga wanamiliki jengo walilonunua kwa nguvu zao wenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom