Baada ya miaka miwili simpendi tena

Basi inaonekana mungu kashakunyima hiyo unayoiomba,akili, watu wanaomba wapewe pesa wewe unaomba akili,unataka kua isaack newton au keyness?omba hela kwanza.

Bila kua na akili hiyo pesa unayoitafuta unaeza usiipate vile vile
 
Mwanamke tabia jombaa, na wala sio miguu wala makalio, yan wenzako tunawaza tutawapataje wake wenye tabia nzuri, wewe umempata afu unawaza miguu na makalio??? Jomba tulia nae huyo katika dunia hakuna mwanamke mbaya, cha kufanya mhudumie utaona atakavyo kuwa pini,.
 
Hahaha...katafute miguu na vibasitola mkuu
 
tooo much thread ya tatu au nne hii watu wamewachoka wake zao. ver sad... mtunze mkeo akinenepa mahips yatakuja tuuuu.
 
 
tooo much thread ya tatu au nne hii watu wamewachoka wake zao. ver sad... mtunze mkeo akinenepa mahips yatakuja tuuuu.

kuna wengne ndo walivyo lakn yaan ye hanenep ng'o afu jamaa yet anataka mtot mwenye umbo mbona balaa
 

Madame S nakubaliana na ww kabsa yaan ila sasa tatzo jamaa kashapoteza hisia yaan hampend tena.,,,,,huu uzi unanipa headache vbaya yaan daaaah mapenz haya.
 
Last edited by a moderator:

Daaah thanks
 

Mkuu upo sawa, me namshauri atulie yupo kwenye steji ya pili ya ndoa, hapa huwa unaona kuwa umekosea kuoa mtu ambae si sahihi! Ila asihofu nalo litapita tu, halafu kwenye ndoa ishu si kugegedana tu! Kuna mama anaejua kulea watoto kimaadili, uaminifu, good companion, msiri wako, msaidizi, anaekuheshimu n.k

Sasa ndugu yetu ashawahi kujiuliza itakuwaje huyo mwenye tako na hips akawa ana mdomo mchafu, dharau,matusi,kisirani na akawa anakuletea mabwana mpaka kitandani mwake?

Namshauri atulie maana heri nusu shari kuliko .....
 
shari kamili.......anasem hampendi eti
 

Mwache tu ili tumchukue!!!!
 
Nina rafiki yangu ana tatizo kama hili...nataman angepita hapa apate huu ushauri...
 
"uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia eeeeh, uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia eeeeh" sijui aliimba nanii huu wimbo? kwahiyo, miguu ya bia, hips na makalio wewe ya nini sasa? wewe unayo?
 
kama huna future naye mwache mapema kabisa binti wa watu,ila jua unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa. Ndoa imara hujengwa katika upendo wa kweli,kumpenda MUNGU,kuheshimiana nk na sio hips na makalio makubwa. Your throwing away diamond and collecting stones bro
 
Wanaadam tuna shida sana wallah...utoto unakusumbua ukikua utaacha utakuwa na vipaumbele vingine kabisa!!True love is very rare to find just so you know!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…