Babati Yetu
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 374
- 120
Tena akae akilijua hilo na alizingatie SN.... Kwa NN wanaume wengine hamujitambui? Hv kugeuza mwanamke kama tishu mnaon vyema eee!!
Maelezo yako yanajitosheleza kwa washenzi wote wanaoacha wake zao kizembe zembe.
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua vitu navyopenda kwa mwanamke ni mwanamke mwenye miguu mizuri(ya bia) mahips na makalio.
Vitu hivyo mimi nikiviona basi nakua hoi, tatizo niliye naye hana hizo sifa za kunisisimua naogopa kumwacha sababu hajanikosea na wala sitarajii aje kunikosea mbeleni, she is loyal tatizo kwa sasa tu ndo hilo hanivutii. Je nifanyeje?
mjomba kuniuliza kwanini nilimtongoza na hana vigezo vyangu ilitokea tu bahati mbaya.
Je kuna mtu alishapitia hii hali?
ukweli ni kwamba mahips na makalio atapata tuu teena kirahisi sana. Tatizo ni miguuu hapa mchina aliboronga. Anyway kwanza apate ivo viwili kwa mchina kilicho baki mtamsaidia.
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua vitu navyopenda kwa mwanamke ni mwanamke mwenye miguu mizuri(ya bia) mahips na makalio.
Vitu hivyo mimi nikiviona basi nakua hoi, tatizo niliye naye hana hizo sifa za kunisisimua naogopa kumwacha sababu hajanikosea na wala sitarajii aje kunikosea mbeleni, she is loyal tatizo kwa sasa tu ndo hilo hanivutii. Je nifanyeje?
mjomba kuniuliza kwanini nilimtongoza na hana vigezo vyangu ilitokea tu bahati mbaya.
Je kuna mtu alishapitia hii hali?
Kama mazuri yamezidi 70% ya kile unachokitaka basi endelea nae.
Hutakaa upate mwanamke mwenye 100% ya kile unachotaka.
Fanya opportunity costs.