nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
kuna baadhi ya mambo huwa tunafanya ila majuto huja baadae tu japo hutokea mara baada ya kuona haja zako hazipo kwake ila baadae inakua kama laana kwa sababu analia umempotezea muda wake umemuumiza kile kilio hua sio kizur jamani unaeza jikuta unadate na wanawake kibao ila kama yy huwez mpata tena. everything happens for a reason, ipo namna si bure wewe
hicho ndo kitu kinaniumiza kichwa sasa.....lakini bado mm kijana na sijaoa. kwann nioe nisiyempenda?..ntakua nacheat tu na Co vzuri
sikuzote namuomba mungu aninyime vyote isipokua akili....
Kuna baadhi ya mambo huwa tunafanya ila majuto huja baadae tu japo hutokea mara baada ya kuona haja zako hazipo kwake ila baadae inakua kama laana kwa sababu analia umempotezea muda wake umemuumiza kile kilio hua sio kizur jamani unaeza jikuta unadate na wanawake kibao ila kama yy huwez mpata tena. everything happens for a reason, ipo namna si bure wewe
Akiongeza makalio na miguu ya kichina itakuwaje ?
Tena akae akilijua hilo na alizingatie SN.... Kwa NN wanaume wengine hamujitambui? Hv kugeuza mwanamke kama tishu mnaon vyema eee!!Mkataa pema pabaya panamuita. Ni vzr ukachukua uamuzi wa kumwambia ukweli na mkaachana kwa salama kwani siku zote kibaya cha jitembeza kizuri cha jiuza. Kwa sifa ulizompa hakika hatakosa wa kumfariji.