Baada ya Mgegedo Nahisi Beki 3 Katoboa siri

Nilikua nammendea beki 3 kwa muda mrefu,majuzi wife kaenda kwenye harusi na mie nikpata nafasi ya kumgegeda, nilikuaga namuoa na vijana wa mtaani wakimmendea nikafikiri walishaondoa bikra kumbe bdo,sasa nikawa wa kwanza kuzichana nyavu.

Baada ya kumaliza tendo dogo aliniahidi kuwa akirudi dada yake atanisemea,so majuzi ghafla wife kaninunia mpaka leo kanuna,pamoja kuwa hajaniambia kuwa dogo kamwambia au rafiki zake beki 3 wamemwambia, nikimwambia aniambie nini kinamfanya anune ananiambia ninajua.Familia haina Amani ni shida mtupu ukizingatia Maza yangu katimba kutoka mkoa,Najuta kumgegeda huyu beki 3
Bebhe Nsuguma onyo'anokho ebhe imalege ng'wenekele'ho nkoyi! Ganyana ebhe!! Tamaa zenu hizo zitawatokea puani!!
 
acha ujinga sasa kununa tu tayari unawaya waya. sasa ole wako ukiri kwamba bahati mbaya shetani alikupitia. Tumeshaapa mwanaume usikubali kosa la kuchepuka hata siku moja.
Ha ha haaaaa,, mkuu umeuaaaa!! Mliapa wewe na nani mkuu? Leo jamaa yako atakiona kilichomtoa kanga manyoa!! Yaani mama kununa tu tayari karibia anatoboa siri. Wacha tusubiri mrejesho!!
 
Nilikua nammendea beki 3 kwa muda mrefu,majuzi wife kaenda kwenye harusi na mie nikpata nafasi ya kumgegeda, nilikuaga namuoa na vijana wa mtaani wakimmendea nikafikiri walishaondoa bikra kumbe bdo,sasa nikawa wa kwanza kuzichana nyavu.

Baada ya kumaliza tendo dogo aliniahidi kuwa akirudi dada yake atanisemea,so majuzi ghafla wife kaninunia mpaka leo kanuna,pamoja kuwa hajaniambia kuwa dogo kamwambia au rafiki zake beki 3 wamemwambia, nikimwambia aniambie nini kinamfanya anune ananiambia ninajua.Familia haina Amani ni shida mtupu ukizingatia Maza yangu katimba kutoka mkoa,Najuta kumgegeda huyu beki 3
Mwanaume kukubali kosa ni mwiko hata km umekutwa unalitenda. akiendelea kukununia na wewe nuna ili usimrahisishie uhakika wa kwamba umemgegeda beki tatu hata kama kaambiwa

Dawa ya jeuri ni kiburi.
 
jiandae kugongewa na ww kuanzia sasa imeshaonyesha uzaifu mkubwa ,kubali kulipwa kisasa bwana mkubwa jiandae na ww kisaikokojia
 
Nilikua nammendea beki 3 kwa muda mrefu,majuzi wife kaenda kwenye harusi na mie nikpata nafasi ya kumgegeda, nilikuaga namuoa na vijana wa mtaani wakimmendea nikafikiri walishaondoa bikra kumbe bdo,sasa nikawa wa kwanza kuzichana nyavu.

Baada ya kumaliza tendo dogo aliniahidi kuwa akirudi dada yake atanisemea,so majuzi ghafla wife kaninunia mpaka leo kanuna,pamoja kuwa hajaniambia kuwa dogo kamwambia au rafiki zake beki 3 wamemwambia, nikimwambia aniambie nini kinamfanya anune ananiambia ninajua.Familia haina Amani ni shida mtupu ukizingatia Maza yangu katimba kutoka mkoa,Najuta kumgegeda huyu beki 3
Hyo beki 3 ulimbkà mkuu
Kama alikupà kwa hiàri hawezi taka kusema
 
Back
Top Bottom