Baada ya mauaji ya Oktoba 29, mbona Rais Samia anazidi kuchukiwa pamoja na jitihada za kisiasa kuonesha yupo karibu na Wananchi?

Baada ya mauaji ya Oktoba 29, mbona Rais Samia anazidi kuchukiwa pamoja na jitihada za kisiasa kuonesha yupo karibu na Wananchi?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Kila kada wa CCM sasa hivi utamsikia anajifanya yupo karibu na vijana hasa majenzii.

Hii ni suluhu ya rais Samia kujubalika kwa Watanzania?

Huku kuna kovu kubwa hasa kuuliwa kwa raia ambao hata hawakuwa karibu na siasa , wengine walikuutwa wakiangalia mpira kwenye vijiwe vya kahawa.

Shootong spree ikafanyika ili kulinda watawawala.
 
A blood of the innocent stinks
 
Fikiria uwe na mwanao, au mdogo wako, au kaka yako, au baba yako; halafu lije jitu liue hao ndugu zako au marafiki zako au jirani zako; hivi unadhani hilo jitu hata likugawie hela nyingi kiasi gani, utalipenda?

Samia, kwa mauaji yale aliyoyafanya, hata afanye mazuri kiasi gani, kamwe hawezi kuja kukubalika wala kupendwa tena. Ni aheri angeomba msamaha, halafu akaachia madaraka. Anavyozidi kubakia, kila akijitokeza ndivyo anavyozidi kuwatia watu hasira. Angekuwa ndugu yangu, ningekuwa nilikwishamshauri zamani, akapumzike na kuingia kwenye toba ya pekee kutokana na uovu alioubariki.
 
Kila kada wa CCM sasa hivi utamsikia anajifanya yupo karibu na vijana hasa majenzii.

Hii ni suluhu ya rais Samia kujubalika kwa Watanzania?

Huku kuna kovu kubwa hasa kuuliwa kwa raia ambao hata hawakuwa karibu na siasa , wengine walikuutwa wakiangalia mpira kwenye vijiwe vya kahawa.

Shootong spree ikafanyika ili kulinda watawawala.
Idd Amini Dada aliua watu kama kuku Waganda walimkataa hadi akafia ugenini hiyo ndio adhabu anayostahi Samia Suluhu Hassan yeye na kizazi chake. Ni bora akaanza kuitumikia adhabu hiyo mapema maana hatakufa kabla kuitumikia.💀💀
 
Back
Top Bottom