Baada ya matokeo ya mechi za leo kundi la Taifa stars ni la kifo.

Match zote ngumu ila match ya away Madagascar ndo itaamua muelekeo wetu pia tumuombee Benin apigwe na Congo na Kama atashinda ashinde kwa magoli machache pia Tunahitaj kufunga magoli meng na kutokuruhusu kufungwa
 
kuna mijamaa wao magoli yao ni ya vichwa tuuu kuna lijamaa linaita chapamoteng dah nomo akikutana mwamnyeto au dikson job wala haruki atakuwa anauelekeza mpira anakotaka
 
Tanzania haina timu ya kucheza World 🌎 Cup, wao wanachezea kwenye vyombo vya habari na humu mitandaoni.

Tunaanza kupiga hesabu za faida kwenye karatasi. Tukijitahidi saaana tutaishia kushika nafasi ya tatu kisha tutasema bahati haikuwa upande wetu. Believe me.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom