Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Baada ya chama cha demokrasia na maendeleo kufanikiwa kunasa walipua mabomu kwenye mkutano wao wa tarehe 15.06.2013 saa 1752 kupitia mitambo ya dvr, sasa jeshi la polisi nao wametangaza kufunga mitambo hiyo kwenye kumbi zote za starehe siku ya sikuku ya Idd lakini kilicho washangaza watanzani ni kuwa juzi Issaya Mugulu aliwataka watanzania kuanza kwenda misikitini na makanisani kwa kuepusha kulipuliwa na kuonyesha hilo aliimanisha ni kwamba jeshi la polisi walizuia mkutano wa siku kumi wa kanisa la ukombozi linaloongozwa na mchungaji Malisa licha ya kuwa tayari walikuwa wameshatumia gharama za maandalizi zaidi mil 50.
Swali wanaopaswa kujiuliza watanzania ni kwamba hizo dvr zinafungwa sehemu za starehe tu na siyo makanisani wala misikitini?
Swali wanaopaswa kujiuliza watanzania ni kwamba hizo dvr zinafungwa sehemu za starehe tu na siyo makanisani wala misikitini?