Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Sanawari na sekei ni sherehe na miziki tangu jana usiku baada ya kupata tetesi...wamasai wamechinja wanyama wao yani nyama na bia wanagawa bure!!

mkuu angalau kuna ukweli kwa haya uliyoaandika natamani iwe kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…