Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,405
Hamjambo!

Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea.
Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na Mahasimu wake au watu ambao anagusa interests zao.
Lisu anapenda kupigania Haki, huo inamfanya awe Mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.

Mapungufu ya Lisu
1. Lisu ni jasiri lakini asiyetumia Akili. Ni kweli Lisu ana akili lakini katika upande wa sheria lakini katika utawala na mambo ya siasa kidogo anatumia mihemko kuliko Akili.

REFORMS AMBAZO ANATAKIWA KUFANYA;
1. Awe Master, Mwalimu, Kocha wa kufundisha vijana ndani ya chama chake.
Lisu anawafuasi lakini hana wanafunzi wake. Hili kiutawala au kimedani ni kosa.
Hata Yesu au Yohana, au Musa, wote hao walikuwa na wanafunzi wao.
Lisu ni lazima akitoka aandae mpango wa kutafuta vijana ambao atawafundisha uaminifu, kumuamini, kisha awape skills, maono yake, na itikadi yake.
Awa-train kwa kiwango cha kutosha huku akiendelea kujenga chama

Kuna tofauti kubwa ya kuwa na Mfuasi na kuwa na Mwanafunzi.
Kazi ya wafuasi ni kufuata unachosema lakini vipi usiposema, vipi ukiwa haupo iwe umekufa au umetekwa au upo sero kama hivi leo.

Lakini Mwanafunzi yeye ni zaidi ya mfuasi, yeye ni kama successor wako.
Mtume Mohammad yeye alikuwa na wanafunzi wake. Ambao kwa namna nyingi wanamchango katika uislamu.

2. Asitumie Ujasiri wake Bila Akili na Maarifa.
Lisu kama ni mtu mwenye vision na anataka kuacha Legacy itakayotimizwa Ra ikitokea emergency ameondoka. Lazima asitumie ujasiri wake vibaya.

Kutumia ujasiri bila Akili ni kuhujumu harakati zake na kuhatarisha malengo yake. Ambapo itakuwa kazi sawa na Bure

Kiongozi kujipeleka mbele katika uwanja wa vita tena sehemu yenye mashambulizi makali bila mipango ni kujihujumu na kutaka mchezo uishe haraka kabla ya malengo ya ushindi kufikiwa.

3. Kujadili meza Moja na Mahasimu wako ukiwa down ni moja ya mbinu inayofanya kazi.
Lisu yupo pekeake, anawafuasi lakini hana wanafunzi wa kufanya anayoyafikiri au maoni yake hata akiwa hayupo.
Ukishakuwa down usitake kujitutumua na kutaka vita viendelee wakati umeishiwa silaha na mbinu. Umezidiwa.
Kijeshi, ku- Surrender ni moja ya mbinu ya kununua muda.
Hata kwenye vita kwa kidunia tunaona. Unapoingia vitani unapigana ukiona umeishiwa au ukiona malengo yako ya vita yameenda kinyume unaomba vita visitishwe kidogo kisha mjadili matakwa ya hasimu wako hata kama unajua hutatimiza. Ila ni ile ku buy time tuu.

4. Kuunda Mfumo wenye Itikadi yake.
Huwezi ukapewa chama leo na hapohapo ukaanza kutumia watu uliowakuta bila kuwazoezesha mfumo wako mpya. Bila kuwaweka wanamfumo wako ambao ushawapima na kuwaona wanafaa na kumudu.

Tayari una wanafunzi wako lakini pia tayari umeweka baadhi ya wafuasi waliofiti mfumo na itikadi zako

Unapokuwa kiongozi sehemu yoyote ni rahisi kushindwa kuongoza kama utatumia itikadi yako katika watu waliozoea itikadi na mfumo wa mtangulizi wako.

Chama ni kimoja lakini mawazo ya viongozi yanaweza kutofautiana.
Kila kiongozi ana mfumo wake.

Nitakupa Mfano,
Wakati JPM anaingia alikuwa mkalimkali kama alivyo Tundu Kisu.
Ukali bila hesabu hausaidii.
Unapokuwa kiongozi jambo namba moja ni kujenga mfumo wako ambao utautiisha na utakutii kwa moyo wote. Watu mnaoshare same interest, watu wenye maoni yanayofanana, watu wenye falsafa na mitazamo inayofanana.
Huwezi kuwa kiongozi bila kujenga mtandao. Itakusumbua sana na ni rahisi kwa adui zako kukushambulia hasa kutokea ndani.

Tundu Lisu amefanya haraka sana kufanya mashambulizi kana kwamba mpango wake ulikuwa ni miaka mitano tuu.

Huwezi ukafanya mashambulizi ya haraka kwa kiwango kile wakati unajua huna dola.
Na hata ukiwa na Dola bado itakuhitaji muda ili ku-gain momentum.

Kwa sababu hata ukiwa na Dola alafu ndio umeingia madarakani leo. Lazima ujue aliyetoka bado anamfumo wake katika Dola unaloliongoza. Hivyo kusema watakuwa Loyal kwako kisa ndiye mkuu wao muda huo kuliko mtangulizi wako waliyemzoea itakuwa ni uongo.
Utapasuka usipokuwa Makini.

Huwezi tumia vijana walioandaliwa na watu, kocha mwingine, master mwingine ambaye kifalsafa na kimtazamo na interest mnatofautiana. Labda uwe mjinga.

5. Viongozi Smart sio wapiga Kelele.
Unapopiga piga kelele unatoa mwanya kwa adui yako kukusoma na kujua mambo uliyoyaficha bila hata ya wewe kujua
Viongozi wengi wapiga kelele wengi hulambishwa mchanga mapema kutokana na kuongeongea ambapo wanauza ramani ya vita.
Kwenye vita kanuni inayotumika ni ile ya Predators. Working silently

Ngoja ninywe chai.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Maelezo mengi ila Pumba !!.

Hamna namna yoyote ya Mwanadamu Mtanzania awe Ndani ya Chama au Nje ya Chama, anayeweza Kupambana na TUNDU LISSU Katika Mizani ya Haki, Usawa, Uwazi .

Kwa LISSU , Mbinu Ovu tu ndizo MTU anaweza zitumia Kupambana naye.( Na kama Hoja yako umeijengea hapa, kwamba bila Reforms ataendelea kuonewa, Sasa Shida hapo ni ya nani?).

LISSU sio tu ana Akili, Mungu amemzawadia kitu ambacho wengi hatuna !!.
 
Tunazungumzia utawala na uongozi katika siasa Mkuu.

Kwa LISSU , Mbinu Ovu tu ndizo MTU anaweza zitumia Kupambana naye.( Na kama Hoja yako umeijengea hapa, kwamba bila Reforms ataendelea kuonewa, Sasa Shida hapo ni ya nani?).

LISSU sio tu ana Akili, Mungu amemzawadia kitu ambacho wengi hatuna !!.
Kwenye utawala mbinu zote zinatumika.

Utawala unajua maana yake?
Huyo Mungu unayemtaja na huenda umemjua kwa Biblia au Quran taja mtu kiongozi wa kisiasa aliyetumiwa na Mungu ambaye hakuchanganya mbinu zote
 
Ni yeye
 
Kuanzia kwenye mipira mpaka siasa bongo ma analyst tunaongoza. Sawa umesikika taikon wa fasihi
 
Jamaa naona thread zako jukwaa hli uko busy na lissu hebu ngoja nikukumbushe ukiachilia mbali umahiri wa sheria wa lissu je wajua kwmb jamaa ana materials ya kufa mtu ya hoja ukienda kchwa kchwa unaaibka unalijua hlo ww je unajua jk alisema bora slaa awe rais kuliko lissu kuingia bungen unadhan n kwasababu ya umahiri wa sheria wa lissu au kuna mengne kwa kfupi umekurupuka ww achana na lissu ww huyo jamaa ni zaid ya viongoz wa ccm na bunge na serikali we komaa na fasihi zako tu
 
Hamjambo!

Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea.
Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na Mahasimu wake au watu ambao anagusa interests zao.
Lisu anapenda kupigania Haki, huo inamfanya awe Mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.

Mapungufu ya Lisu
1. Lisu ni jasiri lakini asiyetumia Akili. Ni kweli Lisu ana akili lakini katika upande wa sheria lakini katika utawala na mambo ya siasa kidogo anatumia mihemko kuliko Akili.

REFORMS AMBAZO ANATAKIWA KUFANYA;
1. Awe Master, Mwalimu, Kocha wa kufundisha vijana ndani ya chama chake.
Lisu anawafuasi lakini hana wanafunzi wake. Hili kiutawala au kimedani ni kosa.
Hata Yesu au Yohana, au Musa, wote hao walikuwa na wanafunzi wao.
Lisu ni lazima akitoka aandae mpango wa kutafuta vijana ambao atawafundisha uaminifu, kumuamini, kisha awape skills, maono yake, na itikadi yake.
Awa-train kwa kiwango cha kutosha huku akiendelea kujenga chama

Kuna tofauti kubwa ya kuwa na Mfuasi na kuwa na Mwanafunzi.
Kazi ya wafuasi ni kufuata unachosema lakini vipi usiposema, vipi ukiwa haupo iwe umekufa au umetekwa au upo sero kama hivi leo.

Lakini Mwanafunzi yeye ni zaidi ya mfuasi, yeye ni kama successor wako.
Mtume Mohammad yeye alikuwa na wanafunzi wake. Ambao kwa namna nyingi wanamchango katika uislamu.

2. Asitumie Ujasiri wake Bila Akili na Maarifa.
Lisu kama ni mtu mwenye vision na anataka kuacha Legacy itakayotimizwa Ra ikitokea emergency ameondoka. Lazima asitumie ujasiri wake vibaya.

Kutumia ujasiri bila Akili ni kuhujumu harakati zake na kuhatarisha malengo yake. Ambapo itakuwa kazi sawa na Bure

Kiongozi kujipeleka mbele katika uwanja wa vita tena sehemu yenye mashambulizi makali bila mipango ni kujihujumu na kutaka mchezo uishe haraka kabla ya malengo ya ushindi kufikiwa.

3. Kujadili meza Moja na Mahasimu wako ukiwa down ni moja ya mbinu inayofanya kazi.
Lisu yupo pekeake, anawafuasi lakini hana wanafunzi wa kufanya anayoyafikiri au maoni yake hata akiwa hayupo.
Ukishakuwa down usitake kujitutumua na kutaka vita viendelee wakati umeishiwa silaha na mbinu. Umezidiwa.
Kijeshi, ku- Surrender ni moja ya mbinu ya kununua muda.
Hata kwenye vita kwa kidunia tunaona. Unapoingia vitani unapigana ukiona umeishiwa au ukiona malengo yako ya vita yameenda kinyume unaomba vita visitishwe kidogo kisha mjadili matakwa ya hasimu wako hata kama unajua hutatimiza. Ila ni ile ku buy time tuu.

4. Kuunda Mfumo wenye Itikadi yake.
Huwezi ukapewa chama leo na hapohapo ukaanza kutumia watu uliowakuta bila kuwazoezesha mfumo wako mpya. Bila kuwaweka wanamfumo wako ambao ushawapima na kuwaona wanafaa na kumudu.

Tayari una wanafunzi wako lakini pia tayari umeweka baadhi ya wafuasi waliofiti mfumo na itikadi zako

Unapokuwa kiongozi sehemu yoyote ni rahisi kushindwa kuongoza kama utatumia itikadi yako katika watu waliozoea itikadi na mfumo wa mtangulizi wako.

Chama ni kimoja lakini mawazo ya viongozi yanaweza kutofautiana.
Kila kiongozi ana mfumo wake.

Nitakupa Mfano,
Wakati JPM anaingia alikuwa mkalimkali kama alivyo Tundu Kisu.
Ukali bila hesabu hausaidii.
Unapokuwa kiongozi jambo namba moja ni kujenga mfumo wako ambao utautiisha na utakutii kwa moyo wote. Watu mnaoshare same interest, watu wenye maoni yanayofanana, watu wenye falsafa na mitazamo inayofanana.
Huwezi kuwa kiongozi bila kujenga mtandao. Itakusumbua sana na ni rahisi kwa adui zako kukushambulia hasa kutokea ndani.

Tundu Lisu amefanya haraka sana kufanya mashambulizi kana kwamba mpango wake ulikuwa ni miaka mitano tuu.

Huwezi ukafanya mashambulizi ya haraka kwa kiwango kile wakati unajua huna dola.
Na hata ukiwa na Dola bado itakuhitaji muda ili ku-gain momentum.

Kwa sababu hata ukiwa na Dola alafu ndio umeingia madarakani leo. Lazima ujue aliyetoka bado anamfumo wake katika Dola unaloliongoza. Hivyo kusema watakuwa Loyal kwako kisa ndiye mkuu wao muda huo kuliko mtangulizi wako waliyemzoea itakuwa ni uongo.
Utapasuka usipokuwa Makini.

Huwezi tumia vijana walioandaliwa na watu, kocha mwingine, master mwingine ambaye kifalsafa na kimtazamo na interest mnatofautiana. Labda uwe mjinga.

5. Viongozi Smart sio wapiga Kelele.
Unapopiga piga kelele unatoa mwanya kwa adui yako kukusoma na kujua mambo uliyoyaficha bila hata ya wewe kujua
Viongozi wengi wapiga kelele wengi hulambishwa mchanga mapema kutokana na kuongeongea ambapo wanauza ramani ya vita.
Kwenye vita kanuni inayotumika ni ile ya Predators. Working silently

Ngoja ninywe chai.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Wabeba maono kama Lissu wanatengeneza Wafuasi na Wanafunzi wa asili. Hawahitaji kuwaandaa.

Thomas Sankara aliuwawa akiwa kijana hakuwa hata na mwanafuzi ila miaka zaidi ya 50 Ibrahim Traore anaongoza Bukrina Faso kwa Sera na fikra zilezile za Thomas Sankara.

Lissu amebeba kusudi la Mungu kwa Tanzania. Hata ukimbana vipi au ukimuua kusudi la Mungu kwa Watanzania alilolipandikiza lazima litimie.
 
ANdiko lako lingekuwa sahihi kabisa ikiwa hao wapinzani wa lissu wangekuwa wanashindana naye kwenye uwanja sawa bila kusaidiwa na tume ya uchaguzi, polisi, mahakama nk nk

Yaani ni sawa uilamu timu iliyofungwa goli 2 bila huku ukijua refa aliwapa red cad wachezaji 4 wa timu hiyo kimizengwe tu kuisaidia ishinde!!.
 
Maelezo mengi ila Pumba !!.

Hamna namna yoyote ya Mwanadamu Mtanzania awe Ndani ya Chama au Nje ya Chama, anayeweza Kupambana na TUNDU LISSU Katika Mizani ya Haki, Usawa, Uwazi .

Kwa LISSU , Mbinu Ovu tu ndizo MTU anaweza zitumia Kupambana naye.( Na kama Hoja yako umeijengea hapa, kwamba bila Reforms ataendelea kuonewa, Sasa Shida hapo ni ya nani?).

LISSU sio tu ana Akili, Mungu amemzawadia kitu ambacho wengi hatuna !!.
Usichojua na kuelewa ccm Ina watu wenye akili Sana kumzidi huyo Lissu.

Anachojaribu kuongea hapa Mtibeli kinaleta maana kuwa VITA inahitaji akili .

Kupambana na Ccm bila akili utaishia kuuliwa , kutekwa , kuumizwa n.k

Ccm ndo Dola yenyewe kwahiyo ukitumia approaching za Lissu hauwezi fanikiwa.
 
Hakuna mwenye akili ya kufikia hata nusu ya akili ya Lissu hapo CCM. Nilikuwepo mimi CCM ambaye at least akili yangu inaweza kufikia nusu ya akili ya Lissu ila nimejiondoa.

Lissu is a gem. Acha kumfananisha Lissu na mambo ya kipumbavu.
 
Hamjambo!

Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea.
Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na Mahasimu wake au watu ambao anagusa interests zao.
Lisu anapenda kupigania Haki, huo inamfanya awe Mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.

Mapungufu ya Lisu
1. Lisu ni jasiri lakini asiyetumia Akili. Ni kweli Lisu ana akili lakini katika upande wa sheria lakini katika utawala na mambo ya siasa kidogo anatumia mihemko kuliko Akili.

REFORMS AMBAZO ANATAKIWA KUFANYA;
1. Awe Master, Mwalimu, Kocha wa kufundisha vijana ndani ya chama chake.
Lisu anawafuasi lakini hana wanafunzi wake. Hili kiutawala au kimedani ni kosa.
Hata Yesu au Yohana, au Musa, wote hao walikuwa na wanafunzi wao.
Lisu ni lazima akitoka aandae mpango wa kutafuta vijana ambao atawafundisha uaminifu, kumuamini, kisha awape skills, maono yake, na itikadi yake.
Awa-train kwa kiwango cha kutosha huku akiendelea kujenga chama

Kuna tofauti kubwa ya kuwa na Mfuasi na kuwa na Mwanafunzi.
Kazi ya wafuasi ni kufuata unachosema lakini vipi usiposema, vipi ukiwa haupo iwe umekufa au umetekwa au upo sero kama hivi leo.

Lakini Mwanafunzi yeye ni zaidi ya mfuasi, yeye ni kama successor wako.
Mtume Mohammad yeye alikuwa na wanafunzi wake. Ambao kwa namna nyingi wanamchango katika uislamu.

2. Asitumie Ujasiri wake Bila Akili na Maarifa.
Lisu kama ni mtu mwenye vision na anataka kuacha Legacy itakayotimizwa Ra ikitokea emergency ameondoka. Lazima asitumie ujasiri wake vibaya.

Kutumia ujasiri bila Akili ni kuhujumu harakati zake na kuhatarisha malengo yake. Ambapo itakuwa kazi sawa na Bure

Kiongozi kujipeleka mbele katika uwanja wa vita tena sehemu yenye mashambulizi makali bila mipango ni kujihujumu na kutaka mchezo uishe haraka kabla ya malengo ya ushindi kufikiwa.

3. Kujadili meza Moja na Mahasimu wako ukiwa down ni moja ya mbinu inayofanya kazi.
Lisu yupo pekeake, anawafuasi lakini hana wanafunzi wa kufanya anayoyafikiri au maoni yake hata akiwa hayupo.
Ukishakuwa down usitake kujitutumua na kutaka vita viendelee wakati umeishiwa silaha na mbinu. Umezidiwa.
Kijeshi, ku- Surrender ni moja ya mbinu ya kununua muda.
Hata kwenye vita kwa kidunia tunaona. Unapoingia vitani unapigana ukiona umeishiwa au ukiona malengo yako ya vita yameenda kinyume unaomba vita visitishwe kidogo kisha mjadili matakwa ya hasimu wako hata kama unajua hutatimiza. Ila ni ile ku buy time tuu.

4. Kuunda Mfumo wenye Itikadi yake.
Huwezi ukapewa chama leo na hapohapo ukaanza kutumia watu uliowakuta bila kuwazoezesha mfumo wako mpya. Bila kuwaweka wanamfumo wako ambao ushawapima na kuwaona wanafaa na kumudu.

Tayari una wanafunzi wako lakini pia tayari umeweka baadhi ya wafuasi waliofiti mfumo na itikadi zako

Unapokuwa kiongozi sehemu yoyote ni rahisi kushindwa kuongoza kama utatumia itikadi yako katika watu waliozoea itikadi na mfumo wa mtangulizi wako.

Chama ni kimoja lakini mawazo ya viongozi yanaweza kutofautiana.
Kila kiongozi ana mfumo wake.

Nitakupa Mfano,
Wakati JPM anaingia alikuwa mkalimkali kama alivyo Tundu Kisu.
Ukali bila hesabu hausaidii.
Unapokuwa kiongozi jambo namba moja ni kujenga mfumo wako ambao utautiisha na utakutii kwa moyo wote. Watu mnaoshare same interest, watu wenye maoni yanayofanana, watu wenye falsafa na mitazamo inayofanana.
Huwezi kuwa kiongozi bila kujenga mtandao. Itakusumbua sana na ni rahisi kwa adui zako kukushambulia hasa kutokea ndani.

Tundu Lisu amefanya haraka sana kufanya mashambulizi kana kwamba mpango wake ulikuwa ni miaka mitano tuu.

Huwezi ukafanya mashambulizi ya haraka kwa kiwango kile wakati unajua huna dola.
Na hata ukiwa na Dola bado itakuhitaji muda ili ku-gain momentum.

Kwa sababu hata ukiwa na Dola alafu ndio umeingia madarakani leo. Lazima ujue aliyetoka bado anamfumo wake katika Dola unaloliongoza. Hivyo kusema watakuwa Loyal kwako kisa ndiye mkuu wao muda huo kuliko mtangulizi wako waliyemzoea itakuwa ni uongo.
Utapasuka usipokuwa Makini.

Huwezi tumia vijana walioandaliwa na watu, kocha mwingine, master mwingine ambaye kifalsafa na kimtazamo na interest mnatofautiana. Labda uwe mjinga.

5. Viongozi Smart sio wapiga Kelele.
Unapopiga piga kelele unatoa mwanya kwa adui yako kukusoma na kujua mambo uliyoyaficha bila hata ya wewe kujua
Viongozi wengi wapiga kelele wengi hulambishwa mchanga mapema kutokana na kuongeongea ambapo wanauza ramani ya vita.
Kwenye vita kanuni inayotumika ni ile ya Predators. Working silently

Ngoja ninywe chai.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Another bullshit
 
Hakuna mwenye akili ya kufikia hata nusu ya akili ya Lissu hapo CCM. Nilikuwepo mimi CCM ambaye at least akili yangu inaweza kufikia nusu ya akili ya Lissu ila nimejiondoa.

Lissu is a gem. Acha kumfananisha Lissu na mambo ya kipumbavu.

Je Kama hawana akili wamewezaje kukaa madarakani over 60 yrs ?.
 
Mimi nashauri aendelee kufanya fujofujo tu hivyo atakujaga mwingine kufanya hizo reform. Kusema afanye hivyo CCM itamuacha alianza kufanikiwa anabomolewa na kurudishwa nyuma kuliko alipo Sasa.
Reform inawezekana kama reform anayoipambania nje ya Chama itafanikiwa.

Yaani mfumo uliopo hauruhusu hata kufanya unayoyafanya. Aendelee alipoishia maana anapata uungwaji mkono na huruma za wengi
 
Maelezo mengi ila Pumba !!.

Hamna namna yoyote ya Mwanadamu Mtanzania awe Ndani ya Chama au Nje ya Chama, anayeweza Kupambana na TUNDU LISSU Katika Mizani ya Haki, Usawa, Uwazi .

Kwa LISSU , Mbinu Ovu tu ndizo MTU anaweza zitumia Kupambana naye.( Na kama Hoja yako umeijengea hapa, kwamba bila Reforms ataendelea kuonewa, Sasa Shida hapo ni ya nani?).

LISSU sio tu ana Akili, Mungu amemzawadia kitu ambacho wengi hatuna !!.
Lissu HANA BUSARA. Na mtu akikosa busara HAWEZI kuwa Kiongozi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom