Baada ya kuzimwa mikutano ya kisiasa,live coverage tbc,waandishi wa udaku mjiandae!

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,204
3,337
Wanabodi,
Salaam;

Serikali ya awamu ya 5 imeamua kuja kivingine. Yale mazoea yetu ya miaka 10 iliyopita ya JK wengi wetu itatuchukua muda kubadili fikra zetu na kuamini kuwa sasa kuna utawala mpya na mfumo mpya!

Kwa faida tu ya wanajukwaa,haya yanayotokea leo hayabadiliki tena. Ukweli utabaki ule ule,tbc haitarusha live na mikutano ya kisiasa itaendelea kuzimwa.

Yanakuja matukio ya kusisimua zaidi kuliko haya. Na kwa sasa,wajiandae waandishi wa habari za udaku. Magazeti yote ya udaku yatapigwa ban,tv za udaku zote zitapigwa ban na sababu ni kurudisha maadili ya ki-tanzania.

Hata mashindano ya ancle ya kutafuta walimbwende hayatapa nafasi ktk awamu hii ya utawala.

Acha tuendelee kuisoma namba..!
 
Wote tutaisoma namba! Waliokuwa wanaimba na wanaimbiwa wimbo wa "CCM ni ile ile". Nape yuko kwenye kazi maalumu ya kuwasomesha wote namba. Hata hivyo hii inaweza kuwaumiza wana CCM zaidi sababu wao ndiyo hasa wanaopenda "kuuza sura". Ngoja tuone nini kitaendelea kwa magazeti ya "udaku".

Udhalimu una mwisho!
 
Back
Top Bottom