Baada ya kuzimwa live TV bungeni, je mitandao ya kijamii itapona...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,179
7,330
Maana mnaongea sana humo na kujifanya mnaupdate kila kitu.

Kama vile naona TCRA wakichukua nafasi yao...
 
Siyo lazima TV Kuonyesha wewe kama Mtanzania unayejali nchi yako ziko www twitter facebook majarida hotuba mbalimbali pitia usome upate uelewa.Ila nadhani wengi wanapenda kusikia na kuona mabishano na lugha za kuudhi hii ndio raha yao
 
Maana mnaongea sana humo na kujifanya mnaupdate kila kitu.

Kama vile naona TCRA wakichukua nafasi yao...
Tunaihamishia source za mitandao yote nje ya nchi.
Wakitaka wakate data network nchi mzima providers wote wahame na makampuni ya simu yasepe.

Hawa watu hawajielewi hata wanachokifanya
 
Sasa hivi Jamiiforums na Polisi wanavutana kwenye Mamlaka za kisheria, Polisi wanataka kupata Access ya Majina halisi ya Wachangiaji humu Jamiiforums ili kila mtu awe Responsible na Liable kwa anachoandika. N

Uhuru usio na Mipaka uliisha November 5, 2015.
 
Uhuru bado upo kwa wanaondika ila kwa wale wazushi wa habari zisizo za kweli na wanaotukana hawa lazima wataona haki haitendeki haki na uhuru uendana na mipaka na wakati mwingine watu huwa ni Hulka zao kuandika au kusema bila kutusi wafahamu sheria zipo
 
Back
Top Bottom