Baada ya kuzifungia Bar, NEMC yatangaza Vita na nyumba za Ibada

Baada ya kuzifungia Bar, NEMC yatangaza Vita na nyumba za Ibada

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,572
Mkurugenzi wa NEMC Samuel Gwamaka , amedai kwamba baada ya kudhibiti makelele kwenye maeneo ya Ulevi , sasa anaanza rasmi kampeni ya kudhibiti nyumba za ibada zinazopiga makelele .

Tunamtakia kila la heri kwenye kampeni yake hiyo na Mungu amfanyie Wepesi , Amina

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Watakuja bar vichaa kupinga hili Cha- demu imefuga wahuni watupu


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Hapo vita kubwa inakuja.. pale laudspeaker za dini ya kweli zitakapozuiliwa zisipige adhana za kuita watu wasali
Hivi haiwezekani mkawafundisha watu wenu kuweka alarm ⏰⏰ au ule muda ukikaribia mtumiane SMS kukumbushana??
Hata wale wa makengele siku hizi hawayatumii kihivyo!
MUNGU amebadilika amekuwa msikivu, mvumilivu na mwenye huruma sana! Sa mbona nyie bado mpo rigid??

#Just thinking outside the box!
 
Safi sana... Baada ya hapo asogee kabisa mitaani. Kuna wale wanafungulia viredio vyao ka sauti!
Alafu Kuna wale wanafunga mtaa kuozesha mwali
Mwingine kachomwa Kisu Arusha na Mmsiri ...Anapiga kelele barabarani..
 
Mkurugenzi wa NEMC Samuel Gwamaka , amedai kwamba baada ya kudhibiti makelele kwenye maeneo ya Ulevi , sasa anaanza rasmi kampeni ya kudhibiti nyumba za ibada zinazopiga makelele .

Tunamtakia kila la heri kwenye kampeni yake hiyo na Mungu amfanyie Wepesi , Amina

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Uonevu waache...Ulevi au Mahubiri na kelele havitangamani...Pana midadi pande zote....
 
Ninyi CCM Wakomunisti msiopenda Dini msituharibie Nchi yetu.
Nakazia....Wakamtoa Manundu Mfalme ZUMARIDI na kumjazia Mashitaka lukuki...akapangua yote na kuwabwaga Serikali...Na alikuwa akitokea Mahakamani kwa bashasha akiwekwa kati na wanawe wawili wakiume ,tena wanafunzi wa Primary,wakimkata jaji kwa jicho la hatari ...CCM ni hatari sana
 
Adhana haina neno ila baada ya adhana hakuna haja ya kuswalisha na loudspeaker. Pia adhana ya asubuhi isiwe na mambo mengi yasiyo na ulazima. Maana sijui amkeni, sijui kitanda ndiyo jeneza. Pumbavu.

Walokole nao na ile mispika yao ya kichina ya bei chee. Mziki unausikia kwenye moyo. Hatutaki. Huna uwezo wa kufunga sound proof usifungue kanisa. La, piga muziki kwa sauti inayostahimilika.

Kuna kanisa la kilokole jirani napoishi, wala halikeri. Sauti wanaweka kwa kiwango himivu.
 
Back
Top Bottom