Baada ya kuumia, ulifanyaje?

Mimi Iam........,
Spanish English or?




 
Bahati mbaya sana wengi tukikutana na wakati mgumu huwa hatutafuti kujua sababu ya hayo kutokea bali ni kujilaumu na kujiona tumepoteza thamani mbele ya jamii.

Kumbe hapana,ni suala tu la kumwomba Mungu kutupa uwezo wa kujua sababu ya hayo yote.

Nondo ya maana kitu kubwa akili ndefuu-swadqta mkuu
 
Sitaki hata kukumbuka saiv npo na perfect man
Hongera,ila kumbuka hata huyo aliekuumiza pengine ulimwita Perfect Gentleman.
Binadamu sisi ni wasahaulifu mbaya zaidi ni vigeugeu.
Niwatakie kila la kheri.
 
Ni ngumu kumpoteza mtu kama ghafla ulie kua na malengo nae na kumuamini,kinacho takiwa ni kumuomba mungu,na ni bora kugundua maovu mapema kuliko kumuamini mtu kwa mda mrefu baadae uje ufahamu hakukuthamin-kwakweli ina umiza ila ujasiri na kujichanganya na watu ni muhmu katka kipindi cha maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…