Baada ya kuumia, ulifanyaje?

Perfect,this is all about what I wanted you to share with us bro...
Thanks a lot.
 
Noted budah
 
Kumbuka kuwa tunapaswa kusamehe saba mara sabini mkuu.
Kusahau ni jambo jema ila nafikiri kusamehe ni jambo zuri zaidi.
Mkuu mie sijui nikoje sio kama napenda ila moyo wangu hua nikipenda napenda na hata mtu aje anambie kua una cheat ntakuja kwambia ila sisemi nani kanambia,lakini nikija kukufuma ujue ndio basi its Over hajuna cha vikao wala nini vikao kaeni nyie mie am done, sasa mtu kama huyo bado anakuomba msamaha bado unakubali? amesha kuonyesha uchafu kama huo?mie kwetu walirudisha Mahari ya watu nilikataa kabisaaaa hata vikao sijui utapata mkosi sijui nini nikawambia bora nikose kuliko kuolewa na Mbwa huyu..
 
Duh,naamini mtu anaweza kukusaliti kwa bahati mbaya(chukulia dada wa kazi labda kanona anavutia mtoto mashalaa ukimwangalia tu mnara unasoma full) kisha akakiri,akajuta na kukuomba msamaha kisha akaacha.
Sasa huoni kutokumsamehe kwa kosa moja utakuwa umemuumiza zaidi kuliko ulivyoumia wewe mkuu?
 
Ilikuwa ngum ku accept mwanzoni sababu ulikuwa ni kipindi nilichokuwa namuhitaj sana sababu ya matatizo yaliyonikuta.

Baada ya kuumia muda mref, nafsi ili kubali kumuacha aende zake. From that day nikawa na amani. Ni hamisha nguv zangu ktk kufikia malengo yangu ya kimaisha.

Namshukuru Mungu kwa yaliyotokea.
 
Ivi ningemsaliti na house boy angeelewa kweli? au yeye ndio mwenye moyo mie sina? mkuu apana hua nasikia kichefu chefu flani hivi sijui hua namuonaje tena namuhisi ananuka kama harufu flani hvi ya kizee..
 
Ivi ningemsaliti na house boy angeelewa kweli? au yeye ndio mwenye moyo mie sina? mkuu apana hua nasikia kichefu chefu flani hivi sijui hua namuonaje tena namuhisi ananuka kama harufu flani hvi ya kizee..
Aisee una msimamo mkali sana mkuu.
Hivi wewe huchepuki kabisa hata kwa bahati mbaya?
 
Bahati mbaya sana wengi tukikutana na wakati mgumu huwa hatutafuti kujua sababu ya hayo kutokea bali ni kujilaumu na kujiona tumepoteza thamani mbele ya jamii.

Kumbe hapana,ni suala tu la kumwomba Mungu kutupa uwezo wa kujua sababu ya hayo yote.
Kweli mkuu...ila wakati mwengine bora hata usijue...maana inaweza kukufanya ukaishi kwenye barafu ya moto...
 
Hakuna kuchepuka kwa bahati mbaya. Kuchepuka ni maamuzi ya mtu na akili zake kabisa. Unajua kabisa tamaa zinakuongoza, na unajua ni vibaya sana ukichepuka, lakin sasa unakubali.
Mwenzio akija jua atajisikiaje? Imagine na yeye achepuke alaf akwambie ni bahat mbaya? Utuelewa
 
Kuna kanuni inaitwa move on

Hii husaidi yaani unajipanga kuendelea na maisha mengine na kiukweli hii imesaidia wengi kuliko kuendelea na mpambano eti kugain your love back huku ukiendelea kuumia

Usipate depression za bure .ww move on utafanikiwa
Ni njia nzuri ila kuitekeleza ni zaid ya kujaribu kutokuziona nyeti zako ukiwa unaoga
 
mimi am struggle until today. nimeumia sana na naendelea kuumia. natamani kutoka nawaza watoto niwaache walelewe na mwanamke mwingine haiwezekani. upendo wote umeisha. Alichonifanyia kwangu ni unforgettable.
niligundua anapost picha za mchepuko wake kwenye social media moja ambayo sikuwa na access nayo. siku nashika simu yake nafungua nakuta amempost halafu hakuna hata pic yangu moja aliyowahi kupost. kwa kweli moyo ulipasuka, nikajua mchepuko unapendwa kuliko mke. natamani kuondoka lkn nawaza wanangu. nimestuck!
 
Maamuzi ya kulitatua hilo yapo na wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…