Umesema sahihi mkuu,ila kwa walio wengi ni shughuli pevu mno kulifanikisha hilo.MAISHA NI HISTORIA INAYOPASWA KUPITIWA KATIKA MATUKIO YA KILA NAMNA....
KUNA MAISHA BAADA YA KILA JAPO.CHA MUHIMU NI KUSAHAU AU KUPUUZIA NA KUSONGA MBELE.
Nipo boss,.lazima tujifunze kukubalina na hali halisi ili tuwe salama zaidi.Mkuu upo?
Pole na hongera kwa kubaki salama maana mapenzi hugharimu maisha ya wengi wetu.
Things happen for reason.
Ingawa inauma lakini hupaswi kujilaum zaidi kusonga mbele.life goes on.
Haya ni mambo common ambayo nadhani %kubwa wanayapitia.hivyo cha kujiambia kwamba hauko mwenyewe na kama wao waliweza ku give up na maisha yakaendelea why me!unakuta mtu analia na kujizira kisa kuachwa.kuna sehem lazima uyape maisha nafasi zaidi ya mapenz
Yap yap yap.Nipo boss,.lazima tujifunze kukubalina na hali halisi ili tuwe salama zaidi.
Mtangulize Mungu tuu kwa kila jambo,.Yap yap yap.
Kuna wengine hudiriki kujiua aisee kana kwamba maisha bila aliekuwa mwenza hayawezekani kumbe inawezekana tena pengine zaidi ya pale.
Namwomba Mungu anisaidie kama itakuja kutokea kwa upande wangu basi silaha kubwa iwe ni KUPUUZA.
Pole kwa msiba mkuu,pia hongera kwa kumzika moyoni na akilini.Niliweka msiba moyoni mwangu, nikalia na kuomboleza, nikamzika kimoyomoyo nikamhesabu hayupo tena duniani nikamtoa moyoni mwangu. Kulipokucha niliamka na furaha mpyaaaa na amani tele kwani hayupo tena akilini na moyoni mwangu. Maisha yanaendelea!
kikawaida unatakiwa usi unyime moyo wako amani na furaha kwa ajili ya jambo moja linalo kuumiza kwa kuzingatia yafuatayoNi kweli, unafanyaje sasa ili yaendelee smoothly?
Toa ushauri wako mkuu ama experience yako kama limeshawahi kukukuta.
Kumbuka kuwa tunapaswa kusamehe saba mara sabini mkuu.Kuumia unapotendwa na unaempenda ni lazima lakini,mwenyezi mungu ameuba kusahau unasahau na maisha yakaendelea ila mie hua namshangaa yule anaeumizwa halafu akaombwa msamaha akakubali yani mie siwezi kwanza hua staki hata kukuona wala kusikia habari zako..