Baada ya kutolewa Kombe la Mapinduzi, Mnyama Kaunguruma Taifa

FT: Simba SC 1 Mtibwa Sugar 1

Mfungaji; Hamisi Kiiza akiunganisha krosi safi ya Tshabalala kutoka kushoto.

Kwa taarifa zaidi: LIVE KUTOKA TAIFA: SIMBA 1 VS MTIBWA SUGAR 0 (FULL TIME) - SALEH JEMBE

NOTE: Japo tumeshinda leo.. Aveva na Washikaji zako mnatakiwa mfanye kitu katika hii Timu.. Maana maumivu inayotupa hayaelezeki.
kwann wao mbona simba Kuna watu wengi tu wanaweza kuongoza acheni uoga wa kizamani huo nyie mwisho wa siku mtaifanya simba kuwa ya kurithishana km ufalme.
 
Back
Top Bottom