Baada ya kusubiri sana hatimaye

Nimesubiri sana na sikukata tamaaa hatimaye malengo yametimia na ajira nimepata sehemu nzuri itakayonijenga sio kazi mradi kazi muuangalie na kazi zitakazowafikisha mbali. Thanks God for everything
Hongera saan na kila rakher, Subira siku zote yavuta Kheri
 
mbona hua hamsemi kazi gani sasa
 
Hongera sana.

Mungu ni Mwema kila iitwapo Leo !
Atenda maajabu nawe huwezi kuamini x3
Ametenda maajabu.

Usimwache Mungu.
 
Hongera! naomba kufahamu hivi kazi mradi ina sifa zipi?
 
Usisahau kumtolea MUNGU fungu la kumi na sadaka ya shukrani ili aendelee kukulindia kazi yako hiyo. Hongera sana
 
kumbuka kuwatendea watu mema na Usisahau kumtolea mungu fungu la kumi kama sehemu ya shukrani ili aendelee kukutendea miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…